Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Now you’re just babbling 🤣.
Umetaka urogwe na unadai hakuna aliyeweza kufanya hivyo na unahitimisha hakuna uchawi, nahoji unawezaje kujua huko kurogwa kukoje ili hata sisi tuweze kujua tofauti ya kurogwa na kutokurogwa, mara unaanza kuniambie nithibitishe kama uchawi upo.

Mkuu haya mkuu tunakubali hakuna aliyekuroga na hivyo hakuna uchawi.
 
Ndio maana nakwambia tunapishana sana uelewa na sijui una umri gani. Uganga au uchawi ni ujuzi na ndio maana waganga wapo karibu kila mkoa hapa nchini na kesi za uchawi ziko karibu kila sehemu hapa nchini, sasa ukiniuliza mganga gani anayeuwa unanishangaza. Yani nikutajie mganga anayeuwa watu kweli? Wewe jamaa hacha tu unione nakwepa kujibu maswali.
mimi najua style ya unavojadili mada. umri sio big deal hata mzee wa miaka 100 ukirudi miaka 90 nyuma umri wake ulikua miaka 10 -- umri is nothing

issue ya kukwepa maswali ni kweli sijakusingizia

na nikiri leo kwenye uzi huu sijakusoma kabisa zaidi ya ile post ya mganga kuua. -- hapa unalalamika kwamba inabidi hoja za watu zihojiwe ila za kwako zikihojiwa unahama ---- hii sikusingizii
 
Vitu gani vinahusishwa na uchawi tuvijadili hebu vitaje
Mimi bado nataka kujadili vitu ambavyo watu wanaenda kwa waganga ili kuwaroga wengine, nataka kujua ni udanganyifu gani wenye kutumika ambao unawafanya watu wenye kuenda kwa waganga waone kweli wameweza kuwaroga hao watu?

Uchizi,kifo,maradhi kama stroke au uchawi wa mapenzi.
 
Ah wapi!

Unadhani kila Mnyantuzu anaamini huo upumbavu?

Tupo ambao hatuamini, kwa taarifa yako.
Sijasema kila mtu anaamini hayo mambo ila kwa mtu aliyeishi hapo hata mwezi mmoja atakua anajua uchawi upo...

Na sio simiyu tu, hii nchi sehemu yeyote haya mambo yako waziwazi...

Na kama hayajakukuta, sio sababu ya kusema hayapo...

Nimeishi kigoma, kule mtu unarogwa ukimwi...

Yaani unapata dalili zote za ukimwi ila ukienda kupima hawaoni kitu...

Nimeishi tabora, pale mvua ya mawe inanyesha kwako inakata tumbaku zote, ila kwa jirani yako inanyesha mvua ya kawaida...

Nikiwa igunga nilishuhudia jamaa amenasia kwa mke wa mtu, uume umegoma kuchomoka...

Nikiwa moshi, kuna barabara ina hiace moja ukipeleka ya kwako haikai mwezi inapata ajali...
 
Mimi bado nataka kujadili vitu ambavyo watu wanaenda kwa waganga ili kuwaroga wengine, nataka kujua ni udanganyifu gani wenye kutumika ambao unawafanya watu wenye kuenda kwa waganga waone kweli wameweza kuwaroga hao watu?

Uchizi,kifo,maradhi kama stroke au uchawi wa mapenzi.
Kwa maana bila uchawi watu hawawi machizi wala hawafi?
 
Sijasema kila mtu anaamini hayo mambo ila kwa mtu aliyeishi hapo hata mwezi mmoja atakua anajua uchawi upo...

Na sio simiyu tu, hii nchi sehemu yeyote haya mambo yako waziwazi...

Na kama hayajakukuta, sio sababu ya kusema hayapo...

Nimeishi kigoma, kule mtu unarogwa ukimwi...

Yaani unapata dalili zote za ukimwi ila ukienda kupima hawaoni kitu...

Nimeishi tabora, pale mvua ya mawe inanyesha kwako inakata tumbaku zote, ila kwa jirani yako inanyesha mvua ya kawaida...

Nikiwa igunga nilishuhudia jamaa amenasia kwa mke wa mtu, uume umegoma kuchomoka...

Nikiwa moshi, kuna barabara ina hiace moja ukipeleka ya kwako haikai mwezi inapata ajali...
Sasa mimi Mnyantuzu nakuambua uchawi haupo!

Au unabisha mimi siyo Mnyantuzu.

Uchawi haupo. Ni uongo na ujinga tu wa watu.

Ni imani potofu tu ya watu.

Halafu, gari kupata ajali ni jambo la kawaida sana.

Kila siku hapa duniani zinatokea ajali nyingi.

Kuhusisha ajali ya gari na uchawi, ni kilele cha uzumbukuku.
 
mimi najua style ya unavojadili mada. umri sio big deal hata mzee wa miaka 100 ukirudi miaka 90 nyuma umri wake ulikua miaka 10 -- umri is nothing

issue ya kukwepa maswali ni kweli sijakusingizia

na nikiri leo kwenye uzi huu sijakusoma kabisa zaidi ya ile post ya mganga kuua. -- hapa unalalamika kwamba inabidi hoja za watu zihojiwe ila za kwako zikihojiwa unahama ---- hii sikusingizii
Wewe unachojua ni kuuliza maswali na kulazimisha kujibiwa kama ulivyouliza hilo ndio tatizo lako na hivyo ndivyo unaona ndio namna ya kujadiliana pekee, unaponiuliza mganga gani anauwa unataka nikutajie mganga fulani sehemu fulani anauwa au unakusudia nini hasa na hilo swali linalenga nini hasa katika hii mada tunayojadili?

Sasa mie nimejaribu kukuelewesha kwamba uganga au uchawi ni ujuzi na ndio maana kuna waganga wengi kila sehemu na sio lazima mganga tu mwenye ujuzi wa uchawi kuhusu jambo fulani anaweza kufanya, ila wewe bado unaona nakwepa kwepa unataka nikutajie huyo mganga anayeuwa watu.

Dah! Mkuu kwa kweli bora nibakie kuonekana nakwepa kujibu maswali.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Sasa mimi Mnyantuzu nakuambua uchawi haupo!

Au unabisha mimi siyo Mnyantuzu.

Uchawi haupo. Ni uongo na ujinga tu wa watu.

Ni imani potofu tu ya watu.

Halafu, gari kupata ajali ni jambo la kawaida sana.

Kila siku hapa duniani zinatokea ajali nyingi.

Kuhusisha ajali ya gari na uchawi, ni kilele cha uzumbukuku.
Sawa mkuu wasalimie simiyu...
 
Kwa maana bila uchawi watu hawawi machizi wala hawafi?
Hakuna sababu moja yenye kuweza kumpelekea mtu kuwa chizi au kufa, sasa mimi nazungumzia sababu ya uchawi. Yani wewe mzima hapo si chizi ila mimi naenda kwa mganga ili nikuroge uwe chizi uokote makopo kabisa.

Mganga anaweza kufanya ujanja gani kuniaminisha mie ninayetaka kukuona wewe unaokota makopo?
 
Hakuna sababu ya uchawi inayomfanya mtu awe chizi haipo kama ipo thibitisha
 
Back
Top Bottom