Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Udugu nipe 5k nikuunge kwa group la YAKUZ YAVUZNahitaji shekhe anayeweza kisomo kutoa uchawi na majini kwa hapa Dar es salaam,,
Udugu wangu Poor Brain
Udugu nipe 5k nikuunge kwa group la YAKUZ YAVUZNahitaji shekhe anayeweza kisomo kutoa uchawi na majini kwa hapa Dar es salaam,,
Udugu wangu Poor Brain
unahitaji ushahidi upi mkuu?Leta ushahidi kuongea tu? Yani wewe unaamini maneno!!
Mimi nahoji tu hapa hayo madai yenu au natakiwa kuamini tu mnachokisema humu?Huyu jamaa kama sio muumini wa waganga basi ni muumini wa mwamposa I guess
Mimi naishi Simiyu na nasema uchawi haupo!Hivi nyinyi msioamini uchawi ni watanzania kama sisi?
Na mnaishi kigoma tanga pemba tabora simiyu mbeya n.k kama sisi?
Kama mnaishi maeneo haya kama sisi ni kweli hamjawahi kukutana na case za kishirikina au mnatuchora wazee?
Hii nchi hakuna mkoa usio na wachawi na uchawi, nyinyi wenzetu mnaishi wapi?
Huo ni uzuzu wa mwenye kuamini hayo maujinga sio uchawi. Kwani nikuulizeNi katika mambo yenye kuhusishwa na uchawi na watu wanaenda kwa waganga kwa ajiri ya kuwaroga wenzao. Tunakubaliana waganga wapo na wewe unaona ni matapeli tu ndio maana nauliza hao waganga wakijiwa na mteja mwenye kutaka kumroga mtu mwengine huwa wanafanyaje hao waganga ili kumdanganya huyo mteja?
Mfano hata kifo cha Ndugai kuna baadhi ya watu wanakihusisha na uchawi kwamba karogwa afe, kwahiyo imani hizo zipo na hivyo wapo watu wanaenda kwa waganga ili kuroga mtu afe, sasa mganga anafanyaje ili kumuaminisha uongo huyo mtu anayetaka mtu arogeke kwa kufa kabisa?
Tunathibitisha vitu kupitiaunahitaji ushahidi upi mkuu?
ungehitaji picha au video ya kitu kinachoitwa uchawi?
Wewe si ndio unasema hakuna uchawi na kama upo basi mtu akuroge? Sasa tena mbona unaniuliza mie kama naweza kuthibitisha kama uchawi upo?Sidhani sidhani zako ni nyingi mno.
Unawezaje kuthibitisha kuwa uchawi upo?
Sasa sisi tunakuambia hakuna kitu kinaitwa uchawi duniani koteMimi nahoji tu hapa hayo madai yenu au natakiwa kuamini tu mnachokisema humu?
Nitoe evidence ya nini? Mbona mnakuwa watu wa kukariri? Nyie mnaleta madai hapa ila hayo madai yenu yakihojiwa mnageuza kibao mnakimbilie kudai evidence.atoe tu evidence --- ila hapo ndo mzozo ulipo
Hakuna uchawi, but knowledge gapsUCHAWI ni SIRI
Ukisema tu SIRI unakufa
Mbona hata Mungu ameshindwa kumaliza watu kuteseka dunianioya man hakuna kitu inaitwaga uchawi ni fiction tu izo bob we unadhani uchawi ungekuwepo watu wangekuwa wanateseka kiasi hiki? ni suala tuu lakutumia uchawi kazi inaisha chap
Story za abunuasi ukiambiwa ulete ushahidi wa hayo matukio uliotaja utaanza kuruka rukaPale tabora kuna jamaa aliitwa mwana wa nshimba manywele...
Huyu bwana alikua mwindaji...
Alikua akiingia polini kuwinda twiga au nyati alikua haonekani na askari wanyama poli...
Ukiacha huyo, kuna mzee alikua anawinda tembo...
Alikua akifika kwenye kundi la tembo anapima kwanza zile pembe kwa mkono...
Akipata mwenye pembe anazotaka anaanza kuwapiga risasi tembo wamezubaa hadi amalize ndio wanashituka kukimbia...
Nyinyi msioamini uchawi, hiki kitu mnakiitaje kitaalamu?
Kusikia watu wakisema au kusikia mlio wa kichawi?kusikia
Ukute we ni mlevi kaka mi napoteza nguvu hapa!Story za abunuasi ukiambiwa ulete ushahidi wa hayo matukio uliotaja utaanza kuruka ruka
Una uhakika gani alikuwa haonekani na walinzi wa misitu?Kusikia watu wakisema au kusikia mlio wa kichawi?
Kwahiyo wewe unaeamini uchawi ndio ambae sio mlevi, jibu hojaUkute we ni mlevi kaka mi napoteza nguvu hapa!
Ngoja waje,napenda kuwasikia na kuwaona live!! Hivi wakoje? ,pia waje watwambie wanafaidikaje kwa kwenda kilometa kadhaa,,kwa ajili tu yakumpiga mtu chale?!!Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?
Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Hoja zao za kitoto kichizi, mtu anakwambia kama uchawi upo mbona hawaibi bank wakati huo anakataa kesi za uchawi wa chuma ulete huku mitaani na sababu ya kukataa ni kwamba hakuna uthibitisho, sasa najiuliza hata akiambiwa watu wameiba kichawi bank bado hatokubali atasema hakuna uthibitisho. Mwengine anataka arogwe kama kweli uchawi upo wakati huo hata hajui huko kurogwa kukoje ili aweze kutofautisha kurogwa na kutokurogwa kama anangojea aote mkia ndio ajue karogwa.Hivi nyinyi msioamini uchawi ni watanzania kama sisi?
Na mnaishi kigoma tanga pemba tabora simiyu mbeya n.k kama sisi?
Kama mnaishi maeneo haya kama sisi ni kweli hamjawahi kukutana na case za kishirikina au mnatuchora wazee?
Hii nchi hakuna mkoa usio na wachawi na uchawi, nyinyi wenzetu mnaishi wapi?
Sawa sawa.Kwahiyo wewe unaeamini uchawi ndio ambae sio mlevi, jibu hoja
Uchawi haupo akili zenu tu wajukuu wa mwamposa