Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,913
Nimekuwa nikijaribu sana kutaka kujua wenye kupinga uchawi ni yapi wanayajua ambayo huwafanya kusema hakuna uchawi? Ila naishia kuona wakieleza tu zile imani potofu na kueleza vitu kihisia hisia.🤣🤣🤣Mambo haya magumu kweli mkuu