Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,722
- 12,413
Nilishakupa angalizo maana najua utaleta maelezo sio majibuSipo hapa kujibu tu maswali yako sio chumba cha mtihani hiki, nishajua nilikuwa nabishana na mtu kwa kitu ambacho hakijui. Subiri ukuwe ukutane na kesi za uchawi ndio uje kubishana hapa.
Asubuhi njema.
Kiufupi uchawi haupo maana hata kuelezeka hauelezeki kama upo elezea upoje tuendelee