Na kwenye Teknolijia za kisasa wamewekeza sana hadi kwenye mitaala ya shuleniRwanda wamejitahidi kupunguza rushwa, kutunza mazingira, kupandisha uchumi zaidi ya 7%, Rwanda imewekeza kwa vijana. Kwa maono yangu watafika mbali.
Na boda za umemeNa kwenye Teknolijia za kisasa wamewekeza sana hadi kwenye mitaala ya shuleni
Kwenye usafiri kuna magari mengi yanayotumia umeme
Its just 2026.....i mean february!Eti who are you huku karembua macho na kuweka mikono kiunoni kama yuko uswahilini akisutana na akina Mwajuma ndala. Sasa akina who are you wamekaza kidogo tu tayari anauza akiba ya dhahabu. Badala abane matumizi kwa kupunguza ufisadi na matumizi ya hovyo serikalini ikiwemo kuachana na haya magari ya bei mbaya. Hajui kwamba hata akiuza hiyo akiba ya dhahabu hizo hela 50% zitakuja kupigwa na wajanja aliowaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao halafu tunarudi kule kule? Hata kama ana D moja tu ya Kiswahili form IV, this is too much!
View attachment 3537673
Je BOT walinunua kilo ngapi baada ya tamko hili?Eti who are you huku karembua macho na kuweka mikono kiunoni kama yuko uswahilini akisutana na akina Mwajuma ndala. Sasa akina who are you wamekaza kidogo tu tayari anauza akiba ya dhahabu. Badala abane matumizi kwa kupunguza ufisadi na matumizi ya hovyo serikalini ikiwemo kuachana na haya magari ya bei mbaya. Hajui kwamba hata akiuza hiyo akiba ya dhahabu hizo hela 50% zitakuja kupigwa na wajanja aliowaruhusu kula kwa urefu wa kamba zao halafu tunarudi kule kule? Hata kama ana D moja tu ya Kiswahili form IV, this is too much!
View attachment 3537673