kuifanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
  3. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela." Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
  4. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wataweza kuifanya hii operesheni??

    Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza?? Pentagon eyeing megaraid to steal Iran’s nuclear stockpile – media The Pentagon is contemplating what could become “the most...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni nchii ndogo ila kwa tanzania mnapoelekea kuwa na kila kitu hii CCM inaenda kuifanya kuwa Zimbabwe

    Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani. Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Shehe Mwinyi mdogo ameamua kuifanya Zenj emirate au sheikdoom?

    Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na hasara kiasi gani. Nilidhani msomi kama Daktari Mwinyi asingekuwa hovyo hivi. Ama kweli, elimu ya mja...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida

    Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida ?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kazi aliyotumwa Msigwa kwenda kuifanya CCM ameifanikisha?

    Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana. Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwanini majiji yetu Tanzania hatuwezi kuyafanya yawe masafi kama Kigali?

    Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi? Tuna majiji sita tu 1. Dar es Salaam 2. Mwanza 3. Arusha 4. Dodoma 5. Tanga 6. Mbeya Hivi hatuwezi kuanzisha kampeni kali ya "KEEP OUR CITIES CLEAN" watu walipishwe faini za kutosha...
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania rita hongera kuifanya BSS kuwa east africa wise ila ingefaa ionekane DSTV maana inatazamwa Africa nzima, hapo azam ni watalaam wa etugru uswahilini

    Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
  12. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Waislamu na fikra finyu za kuifanya Tanzania kuwa dola ya Kiislamu

    Jana nimecheka sana, nikiwa katika kijiwe kimoja hivi katika mikoa ya kusini, wanazuoni (wao hujiita wanachuoni) wa dini ya kiislamu wakiongozwa na wahitimu wawili kutoka chuo cha MUM walikuwa wakijadili kwa kujigamba kuwa mkakati wao unaelekea kukamilika. Mkakati wenyewe ni kuhakikisha 51% ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya chai iwe bia

    tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida ) kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama una scoby unaweza ukaweka kama hauna hakunashida pia, iache chai yako ndani kwa siku kadhaa hadi...
  15. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

    Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali haramu inang'ang'ania madaraka kwa sababu wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa

    Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia kila la heri jeshi la polisi kwa kazi wanayoenda kuifanya kesho

    Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Ibrahim Traore anataka kuifanya kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa la Burkina Faso

    Wakuu ==== Ni kweli kuwa Rais wa Burkina Faso anataka kuidhinisha kiswahili kuwa lugha ya taifa badala ya Kifaransa? Msaada Kwa mwenye ukweli wa taarifa hizi??
  20. H

    JamiiForums Tanzania CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
Back
Top Bottom