Magu pamoja na ulevi wake wa madaraka, uliwahi kumuona anasumbua wezi wenzake? Alisema gas yetu imeuzwa na wajanja, aliwafanya chochote hao wajanja zaidi ya kuamua kufuata umeme wa maji?
Huyo ni Magu ambae kwa mujibu wako alikuwa dhalimu!

Vipi kwa huyu mama ambae siyo dhalimu kama yule dhalimu wako?
 
Hata ikichukua mwaka, adhabu ya gaidi ni kunyongwa
Ni suala la muda tu
Mwaka wa nini wakati tayari ushahidi mnaweza kutengeneza nyie sukuma Gang? Yaani sasa hivi tunawaona ni wa@sengerema tu. Fanyeni lolote mtakalo lakini Mbowe sio gaidi na katiba mpya ni lazima fullstop.
 
Huyo ni Magu ambae kwa mujibu wako alikuwa dhalimu!

Vipi kwa huyu mama ambae siyo dhalimu kama yule dhalimu wako?

Mama wa kambo sio dhalimu kama yule ibilisi, hapo alipo ni kama kaingia maagano na shetani, hivyo ni lazima aende kama shetani watakavyo.
 
Mama wa kambo sio dhalimu kama yule ibilisi, hapo alipo ni kama kaingia maagano na shetani, hivyo ni lazima aende kama shetani watakavyo.
Siyo dhalimu si aache sasa huo urais?

Si siyo dhalimu?
 
mimi nilishawaambia chadema waende kwa akili na busara, maza amekuja na nia njema wao watumia hisia badala ya akili, ndio maana magu aliwanyoosha. mtu mpole ukimzoea vibaya anaweza kukufanya kitu mbaya kuliko hata yule anayeongea.
Pale Mbowe alipotamka hana subira wataanza mara mmoja maandamano na makongamano ya kudai katiba nchi nzima. Lakini pia kuna wafuasi wa chama chake waliosikika wakidai kumyoa SSH kama mtangulizi wake,hiyo kauli tata nadhani ndio imemvuluga SSH.
Sina uhakika kama walikuwa wanapima kama kibiriti kimejaa, nadhani Raisi SSH hataki kudharauliwa na hiyo itakuwa pigo kwa matumaini ya kukuwa kwa demokrasia nchini.
 
Babu yako na baba yako walikufa ilikuwa ni fundisho kwa nani? Mkapa na Prof. Baregu, Maalim Seif, wote na Prince Philip, Mandela ni fundisho kwa nani? Aliye kaa milele ni nani mpaka sasa ambaye hakutolewa fundisho?
Ni seme huwezi ukawa wewe mwislamu, maana waislamu wanaamini kifo ni faradha na kila kumbe kitakufa! Wewe bado unabeza mtu kufa! Unakera kwa ukosefu wa akili.
Jiwe kafa kwa uzwazwa wake, acha kuja na mifano isiyohusiana. Haujiulizi kwanini ule upuuzi wa nyungu haupo tena, haujiulizi kwanini elimu ya social distancing na uvaaji musks inahimizwa.
Mlichelewa sana kwa kuwa mwendakuzimu alikuwa amewashikia akili zenu, subiri vaccination inakuja huko.
 
Wanacheza na akili za mazuzu.
Pia ni mbinu ya kutafunia kodi zetu si ajabu ukaambiwa gharama za kumkamata na kumzuia ni milioni 20, maana wabongo kwa upigaji ni sawa na dawa na mswaki,watu wanaweza wakatengeneza dili la kukamata wapinzani Ili wapate 10%.Jiulize toka lini Mbowe amewahi kuwa tishio kwa usalama wa nchi,watz Wana shida nyingi ambazo badala ya kuwa bize kuzitatua wao wapo bize na visivyomsaidia mtza.
Maana anakamatwa then ataachiwa kodi zetu zishaenda,hizo gharama za kumkamatia zingepelekwa kwenye mfuko wa kijiji si zingemaliza kabisa tatizo la madawati au ujenzi wa choo
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Katiba ya mavi yako
Mbowe ni gaidi na adhabu ya gaidi ni kunyongwa

Bado hujapanick mbona, utapanick sana. Badilisheni hao usalama maana wanamshauri mama wa kambo kutumia mbinu za kizamani sana. Kizazi cha mazoba kimeshapita dogo.
 
Wapiga kura hawakufika 10m, lakini Magufuli aliagiza atangazwe kwa kura 12m+! Kama huamini ingia tovuti ya tume ya uchaguzi kama hayo matokeo yapo.
Ulihesabia kura wapi? Jpm alikuwa chaguo sahihi kwa tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu angechagua lisu
 
Back
Top Bottom