Ana power yote inayosapotiwa na katiba mnayotaka ibadilishwe!

Vyombo vyote vya usalama vinamtii yeye!
.
Sasa inakuwaje hana hiyo nguvu ya kuvunjilia mbali hilo genge wakati yeye siyo dhalimu kama yule dhalimu wako?
Kaingia madarakani kwa kura halali? Hapo ndio penye shida.
 
Kaingia madarakani kwa kura halali? Hapo ndio penye shida.
Yeye ni Rais! Ameapa kuwa rais!
Anatawala kwa katiba inayompa nguvu zote! Anaweza kufanya lolote bila bugdha yeyote,,!

Hata Magu mlikuwa mnasema kaingia kwa kura za wizi na ana boronga kwakuwa katiba inampa uhuru wa kufanya lolote!

Samia siyo dhalimu kama dhalimu wako. Sasa kwanini asiondoe hilo genge? Ili kama akizinguliwa anajiuzuru?
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
 
Wakat mwingine nawashangaa sana hawa mabeberu Uchwala hv Mbowe si binadamu hawezi kufanya kosa au kufanya mambo ya ajabu?

Mbowe anaweza kuwa ni kweli kaonewa au kafanya kweli ugaidi hasa iliyokuwa chadema ya 2005 mpk 2015 kuna mengi sana yenye sura ya Ugaidi yalikuwa yanafanyika Chadema
 
Siasa bwana😀..Ni sawa na WWE,. Politicians are trained entertainers, dont engage if you can't play their games, just sit back and enjoy watching the game. Whoever wins; wins..Wanasiasa wanajuana wao kwa wao tu na game lao wanalijua wao tu😀.
Mbowe alisema kuna corona akasuggest hata tuchanjwe kwa lazima, halafu akaitisha kongamano🤣🤔🤫..
Na wengineo wengi wanajitekenya na kucheka. Inshort wanasiasa mi nawaangaliaga kama ninavoangalia michezo ya kuigiza. Wote ni wachumia matumbo na ndio maana wapo tayari hata watu wafe ili wao waingie madarakani. Acha movie iendelee😀
 
Wakat mwingine nawashangaa sana hawa mabeberu Uchwala hv Mbowe si binadamu hawezi kufanya kosa au kufanya mambo ya ajabu?

Mbowe anaweza kuwa ni kweli kaonewa au kafanya kweli ugaidi hasa iliyokuwa chadema ya 2005 mpk 2015 kuna mengi sana yenye sura ya Ugaidi yalikuwa yanafanyika Chadema
Utakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiria kama na wewe unawaz ujinga huu waliofanya serikali ni wa maana labda kama unamanufaa nao ila ujue hawataishia kwa mbowe ila kwa wote watakaoenda kinyume nao hata walipo ndani ya systemu muulize Dialo
 
Hv Chadema umeijua leo au unaongea sikia Chadema sisi tunaijua vzr sana nimesema hata ukileta FBI wakaichunguza Chadema ya 2005 mpk 2015 makosa ya ugaidi na utekeji hawawezi kuepuka hata kidogo Muulize Zitto ,Dr Silaa wanajua kilichokuwa kinafanyika Chadema si unaongea tu
 
Nimekumbuka Polisi wa Arusha walivyomwekea mstaafu mmoja kitu kwenye mzinga wa nyuki. Walikwenda naye kusachi, akadhani afungue mlango waingie, lakini hawakutaka bali walikwenda moja kwa moja mahali wapopandikiza kitu chao.

Sitashangaa Polisi wakisema wamekuta hiki na kile kwa Mbowe. Polisi wa Tanzania wana historia ndefu ya kupandikiza “Ushahidi”. Nadhani wanaungana na watu wa Usalama wa Taifa kubambikizia watu makesi kama modus operandi yao ya kawaida.

Tunafanywa watu wa kudharauliwa sana duniani. Kisa? Eti tusizungumzie katiba mpya. Tulitembea kifua mbele kwa miezi mitatau, na sasa tumekuwa wa aibu sana.

Inawezekana sana kwamba Mama anaaminishwa na walevi wa madaraka kwamba ni lazima azushie watu kihivi. Naona amekubali kuyumbishwa na watu hao alioachiwa na matokeo yake sasa yeye analiyumbisha taifa.

Once you opt to rule by oppression rather than persuasion, you will find that you have to be ever more oppressive in order to remain in power. Winning by bullets and not by ballots. Shame on the one who has brought us to this low point.

Just as we thought we were getting to the top, we found out that we have hit bottom! Shame on Shamia Shuluhu Dadaa!
 
Yeye ni Rais! Ameapa kuwa rais!
Anatawala kwa katiba inayompa nguvu zote! Anaweza kufanya lolote bila bugdha yeyote,,!

Hata Magu mlikuwa mnasema kaingia kwa kura za wizi na ana boronga kwakuwa katiba inampa uhuru wa kufanya lolote!

Samia siyo dhalimu kama dhalimu wako. Sasa kwanini asiondoe hilo genge? Ili kama akizinguliwa anajiuzuru?

Magu pamoja na ulevi wake wa madaraka, uliwahi kumuona anasumbua wezi wenzake? Alisema gas yetu imeuzwa na wajanja, aliwafanya chochote hao wajanja zaidi ya kuamua kufuata umeme wa maji?

Aliishia kuwakamata akina Seth na Rugemalira kwenye fedha za escrow, je waliosaini hizo pesa upande wa serikali aliwafanya chochote? Sababu ni kuwa hakushinda uchaguzi kihalali, na hao wezi hilo walikuwa wanalijua.

Hivyo hayo madaraka anaweza kufanya chochote, ila ni nje ya mzunguko wa wezi wenzake.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom