Jiwe kafa kwa uzwazwa wake, acha kuja na mifano isiyohusiana. Haujiulizi kwanini ule upuuzi wa nyungu haupo tena, haujiulizi kwanini elimu ya social distancing na uvaaji musks inahimizwa.
Mlichelewa sana kwa kuwa mwendakuzimu alikuwa amewashikia akili zenu, subiri vaccination inakuja huko.
Mkuu Ahsante Una ya mwenda jehanam katika ziwa la Moto? Sasa Yuko anaungua!!
 
Tanzania ni nchi huru na inaongozwa na Utawala wa sheria (Rule of Law) Hakuna aliye juu ya sheria, watu wote wapo sawa mbele ya sheria, mtu yeyote akifanya kosa lolote la kijinai atachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi yake, rangi take au jinsia yake.

Mbowe anatuhumiwa kwa makosa ya Kigaidi yeye na genge lake, ni kinyume cha Utawala wa kisheria kuanza kumtetea Mtuhumiwa/watuhumiwa kabla hata hajafikishwa Mbele ya Mahakama.

Tanzania inaheshimu utawala wa sheria na lazima Mbowe atafikishwa mbele ya Mahakama kujibu tuhuma na bila shaka watapata nafasi ya kujitetea, kinacho fanywa hivi sasa na Viongozi wa chadema ni kujaribu ku "frustrate" mchakato wa kumshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kwa kutumia vyombo vya habari vya kimataifa, wakiamini kuwa Vyombo vya ulinzi vya tz vitaogopa na kurudi nyuma, hilo ndio lengo la chadema hivi sasa. wanaitishia nyau serikali makini!

Naamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havitoingia kwenye mtego wa chadema wanao fanya hivi sasa kamwe vyombo vyetu visitetereshwe wala wasiogope kufuata utawala wa sheria kwa kumhofia Mbowe au hata mtu mwengine.

Utawala wa sheria ni "Hakuna aliye juu ya sheria". Mbowe hatuko juu ya sheria lazima ashitakiwe na kwa kufanya hivyo ndio kuheshimu na kufuata utawala wa sheria.
 
Jiwe kafa kwa uzwazwa wake, acha kuja na mifano isiyohusiana. Haujiulizi kwanini ule upuuzi wa nyungu haupo tena, haujiulizi kwanini elimu ya social distancing na uvaaji musks inahimizwa.
Mlichelewa sana kwa kuwa mwendakuzimu alikuwa amewashikia akili zenu, subiri vaccination inakuja huko.
kufa kafa lakini kawanyorosha mbweha nyie. na hamtakuja kumsahau.
 
mbona hasira nyingi hivyo? kumbe kweli alikunyorosha, hautakuja kumsahau maisha yote.
Nakujibu kama unavyokuja, huyo mbwa Jiwe hata kupata privilege ya kupumua hewa ninayopumua hapa hakuwahi kulipata.
 
Taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuwa ni Mgonjwa sio za kweli hayo yamesibitishwa na Katibu Mkuu wa BARAZA la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) kuwa kinachomsumbua kiongozi huyo ni mbavu na mgongo sababu ya kulala Chini kwa siku sita sakafuni

Tunapoambiwa tuheshimu utawala wa Sheria haya ndio matokeo yake vijana wengi wanapata mateso sababu ya kuendekeza na kufuata mkumbo katika mambo yasiyofaa.

Vijana tuchunge Sana mienendo na tabia zetu jela au mahabusu sio kuzuli leo tukisema wanaotaka kumuunga mkono Mbowe kwenda Gerezani wengi watamkataa ndio maana hata Mdude alikuwa peke yake mlivyoona muelekeo wa kesi ni mzuri mkajifanya kwenda kumpa nguvu siku ya Mwisho ya hukumu

Screenshot_20210727-045105.png


20210727_041757.jpg
 
Taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuwa ni Mgonjwa sio za kweli hayo yamesibitishwa na Katibu Mkuu wa BARAZA la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) kuwa kinachomsumbua kiongozi huyo ni mbavu na mgongo sababu ya kulala Chini kwa siku sita sakafuni...
Naona unatamani watu waingie woga, kutii utawala wa sheria wa majizi ya kura?
 
Gaidi Mbowe analia lia kulala chini ya sakafu tu gerezani, mbona huyu kamanda nyoro nyoro sana, atayaweza mapambano kweli?
 
Naona unatamani watu waingie woga, kutii utawala wa sheria wa majizi ya kura?
KAMA KWELI HALIL IKO NAMNA HII, KWAMBA MTU ANAPIGW AMATUKIO HADHARANI ILI KUWATISHA WENGINE WASITHUBUTU KUSIMAMA KAMA YEYE, BILA KUJALI WANA HAKI AMA LA, KWA LENGO LA KUIMARISHA ITIKADI, MSIMAMO HARAMU, AMBAO HAUTAKIWI NA WENGI, HIZI NDIZO TERROR ACTS!. HUU NDIO MFANO HALISI WA UGAIDI
 
Police wa sirro kazi yao ni Ujambazi na Uizi wa kura na Kumuua Anaye Dai haki...Hakuna kulinda Mtanzania ....atajutia siku zote
 
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye...
Mbona hajaisaini!

Ila kama alihusika kutuondolea jembe letu, huyo mtuletee wazalendo uwanjwa wa uhuru tumgawane😡!
 
Back
Top Bottom