Chadema sio chama cha siasa ni W la wahuni mchanganyiko wa magaidi.
Msajili alipaswa afutilie mbali hili Genge la kihalifu ambalo nia na dhamira yake ni kuvuruga amani ya nchi yetu
Na kilecha maharamia bambikizi unakijua pale mtaa wa kijani.?
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Back
Top Bottom