MASASI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewatuliza wananchi wa Kijiji cha Mbonde, Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, wanaodai fidia ya Shilingi bilioni 4,487,944,411.90/= kwa ajili ya kupisha ujenzi na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Masasi, akieleza...