Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,
Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️🩹❤️🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??
Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!
Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,
watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc
Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea
Any ways tukutane DEC!!!!!guts