Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ameingia mikataba na majini, (kuzimu) ili aendelee kuwa na cheo kwa malipo ya kumwaga damu nyingi za watu wake wasio na hatia,

Mwisho wa siku anapokuwa Dodoma, Magogoni na Kizimkazi anaishi na kulala kwenye mahandaki.

Lakini hayo hayo majini yanaenda kumnyonga mwenyewe.

Mwache ahahe kuwawinda askari 10 waliokimbia nje ya nchi.

End of the day majini yanaenda kumgeuka.
Hatari sana
 
Hiyu aliwai kusema hapa shida ni wenye kampuni ambao ni sie wananchi kwamba tulilala sana..haya sasa tumeamka na tunazidi kuamka tutajazana mabarabarani hadi mteme bungo kawambie maboss zako.

Hakunaga nguvu iliyowai kushinda nguvu ya umaa haipo..
Wape mfano wa Caeusescu..na wamepanga UVCCM waje kuharibu maandamano washafeli hao lazima waungane na wananchi sababu huyo mama saiv hakuna anaemuhitaji hadi nyie humo ndani mwajua vizuri tu.
Pima upepo na peleka ujumbe haturudi nyuma!
 
Sawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule
 
Sawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule
Whatever the case, divide and rule ndio bomu lingine zito litawalipukia vibaya kuliko la tar 29. Mwamko ukishafikia huku chini kwa watu wa kawaida dawa ni kuchutama otherwise it is going to be worse na mbaya zaidi vidole vyote viko kwao. I'm afraiding kama tar 9 ikitokea kama tar 29 hata kwa 12 hrs tutashangaa. Hii nchi inamezewa mate kitambo na maadui wamesubiri moments like this for long. Wanamtandao penda wasipende watatafuta meza!
 
Hivi kumbe huyu ni mtu wao?

Sasa angepataje taarifa zao.
Yeye ni wa huko kwa wahuni either kwa kupenda au kwa kuto kupenda.

Muhimu anatupa story za wahuni.

Na by the way, Lazima mjue kuna wanao fight uhuni ndani n Nje ya system, Angalia kwenye maandamano ya tare 29, Kuna walio lala nyumbani n kugoma kupiga kyra, kuna makarani walio enda kuandikisha kupiga kura na wakarecord video za watu kupiga kura nyingi/Wasimamizi kumpigia kura Samuya, na kuna walio choma karatasi za kura.

Hao wote hapo juu ni kundi moja tu.
 
Naungana na wote walioanza kuamini kuwa yoga analinda maslahi ya wanamtandao that is why anadiscourage nguvu ya umma.

It can be a bitter truth but nothing is unattackable when it comes kwenye mass interests.
 
Hali ilivyo sasa, Economic standstill inawacost sana wazee wa mtandao madola kibao kupitia wawekezaji wao. Ninahisi wanawaza kusukuma kete kadhaa kubadili mchezo peacefully with minimal damage!

Sitashangaa wakiamua kumtoa sadaka Bi Kizimkazi ili kurudisha utulivu. Maana wanajua kuna watu wao wengi kwenye chain ya uongozi wa nchi. Wanaweza kufanya controlled demolition, wananchi wakashangilia, kumbe ni drafti linapigwa. Unapewa moja, unaliwa tatu!

Mark this post!
 
Tufikirie kwa angle nyingine yoga sio yupo huo upande au anatisha watu NO…uzi wa muda mrefu huu tukumbuke….nadhani yeye anasema kile anachokiona kwenye mfumo .ukifuatilia kete zake nyingi kama zimetiki ndio maana yeye anasema nature itaamua au kama tutaweza kaza kwa siku tatu na zaidi it’s possible.. ndio maana tunaweza iweka hivi je ni rahisi jibu linakuja HAPANA…then je inawezekana jibu linakuja NDIO
 
Watu wanapenda kuambiwa wanachotaka kuskia, Ukiwaambia kingine wanakuona hauko upande wao.

Hat polisi wapo ambao wapo na wananchi, na ndo maana skuile mwafyrls anapo watisha polisi wakamrecord na kutuma kwenye magroup.
 
Back
Top Bottom