Kwa nini usiwaeleweshe?Nature will decide (watu Bado hawaelewi hii sentensi)
Nature huwa ina take time ku decide na hata iki decide katika mazingira haya itakuwa ni kuongeza idadi ya wanafamilia tu maana atakayekabidhiwa na yeye ni mwanafamilia ambaye atataka kuwatambulisha wanafamilia wake pia kwasababu mchezo unavyoenda anaufahamuNature will decide (watu Bado hawaelewi hii sentensi)
Wazee wa kodi naomba hii ilegezwe angalau kidogo kama mishahara ya mabosi wa TRABRN T
Akina Capt. Tesha hao au siyo?Mwache ahahe kuwawinda askari 10 waliokimbia nje ya nchi.
Na wanamtandao walivyo wajanja wanasindikizia na unabii kuwasanua watu kwamba Mungu kapanga hivyo!!Nature will decide (watu Bado hawaelewi hii sentensi)
BRN T=Born town and his crew!Wazee wa kodi naomba hii ilegezwe angalau kidogo kama mishahara ya mabosi wa TRA
Hii inawezekanaje au nabii anaupataje ujumbe wao!?Na wanamtandao walivyo wajanja wanasindikizia na unabii kuwasanua watu kwamba Mungu kapanga hivyo!!
Huko YouTube naona Tayari wameshahalalisha kupitia nabii zao!
Kuna nabii za kweli,halafu Kuna nabii za mchongo Toka Kwa watumishi wa Mchongo!!Hii inawezekanaje au nabii anaupataje ujumbe wao!?
Master RESILIENT KATONa wanamtandao walivyo wajanja wanasindikizia na unabii kuwasanua watu kwamba Mungu kapanga hivyo!!
Huko YouTube naona Tayari wameshahalalisha kupitia nabii zao!
Edo V/s Shetani wa Taifa,mali ya urithi ki afrika Huwa ina migogoro sana, boss anao mpango wa kumrithisha Kijana wake, CEO nae ano mpango wa kuwafanya wanawe wawe the last decision top maker,
mgogoro wao ujao ndio nafuu kwenu
Pamoja kwamba fedha yaweza kuwa na pande mbili, kwa hapa 👍Maigizo yawe tamthilia yazae atten
Wateja uliowadharau wameamka,😂😂 kwenye hii kampuni, likija suala la meza ya bwana, yaani Mlo kamili, kamwe wa kuwagombanisha hayupo, as long as wamekubaliana! Sema ukijitia kiherehere sanaaa ndio wanakushugjulikia!! 😂😂😂
Watu washaa kaa meza Moja, huyu awe pale, wewe utakuwa pale, wewe ka simame kule.
washa sema huyu hatumtaki, yule apumzike, huyu anyamaze!! Huyu akiendelea sana tumshghulikie😀
Kiongozi kesha amua, sisi ni naniii!!
Sema wanakubliana kinafki, maana ukiambiwa "ndio" jua ni hapana na "hapana" ndio ndio!!
Washajua wateja wao wamelala usingizi mnene!!
Kwahiyo msisubiri ndege standi ya magufuli!! 😂
Tukutane December!!!
Tafuta peter lemo wa Kenya!!!Master RESILIENT KATO
1. Vipi huko YouTube ni channel ipi naweza kuiona hiyo?
2. Vipi mkuu katika wale wanaojita manabii Tanzania, ni yupi na yupi hutumiwa na kundi la BRN T?
Hiyo imegoma kabisa we jamaa!Ajaye ni gwaji.
Wafanye wafanyalo