Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Inaendelea.......

60 days before the dark days ........

(Flash back)

Someone called the boss na kumwambia you are in danger, some people are planning to take you out! Hawako na furaha ya hiki unacho fanya! Boss kama kawaida yake kujiamini sana, anadai yeye anaprotection ya kutosha, and if, alisalimika last time akiwa kama cashier wa kampuni ni urongo na upuuzi akiwa the CEO kuwa termineted!!

The boss anaamua kuongeza udukuzi kwa adui zake, lengo awaumbue kumbe they knew and walimpa alichotaka asikie but behind the corridor unyeti wa mambo unaendelea

Kosa kubwa ni kumundermine the old boss A.K.A the king maker!! So the old boss alijua kuna the old CEO kabla yake ambaye ndie alimtengeneza huyu CEO wa sasa. Hata wakati wa mapendekezo tha CEO aliinsisit huyu CEO apewe nafasi kuinusuru kampuni!! Na inavyo onekana huyu ndie behind the scene director wa the existing CEO

They called a meeting, involving one of his closest top security friend from the company! And then come up with targets chart board! Ile bord ilikua ikimuonesha the new boss na subordnates wake wooote wanaompa kiburi

Wakati huo, big boss na yeye akiwa hajui akaona am cut off totaly old boss in the company, aka select new secretary akamuondoa the old one, then na new public relation officer, wote wakiaminika hawakuwahi kuwa ndani ya kampuni!! Maswali kwa wafanyakazi wa chini walio dhani wana opportunity ya kuchukua hizo nafasi yakaanza but hofu iliyafanya yapoteee

The top security na vijana wake waka-identify targets wao na kupewa go ahead, but before anything kulikuwa na a very deep informer direct kutoka kwenye meza ya new boss!!

bwana weee!!
Wakaanza na yule old CEO, pitanaye in a way no one noticed!

Big boss was shorked and hakuamini! He was told he died from a normal death! One thing he didnt know is that, inside the office kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kwa the old boss, na huyu mtu ni mtu wake wa karibu sanaaa!

The new boss ameshahangaika kumjua huyu mtu but amefail several times. Huyu mtu ndio alitoa time table ya the old CEO anaye aminiwa na new CEO wapi watakutana so that the agent responsible for the assasination can do his job!!

Huyu mtu ndie anaetoa taarifa kwa the old CEO timetable nzima ya the big boss, anakula nini, amelala saa ngapi, anafanya nini, anawaza nini na maamuzi yake ni yepi, sababu mtu huyu alitokea kuaminiwa sana na the big boss in town

So how did they terminate mzee muibua kipaji cha CEO......................

Who is the deep informal......

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20...
Hii episode ya 60 days before the dark days inafanana kabisa na yale maelezo ya Mh. Slow slow aliyo yasema mwaka huu wa 2025 kabla ya kupotezwa!! Shemeji Pascal Mayalla una maoni gani hapa!
 
Si quieren que ellos se bajen del carro, solo quedan dos jugadas:
👉Hacer silencio y dejar que la marea acomode todo, o
👉Que suene la tambora…

AsĂ­ es la pura candela.
La primera opción es fácil y segura sin derramamiento de sangre, excepto que muchos de los "wenye kampuni" que persuaden a "kukinukisha" son impulsados por las emociones, alentados por sus falsas imaginaciones, au niseme chuki walizo lishwa zime-overwhelm their Inteligence, ability ya kufanya maamuzi iko below common sense.

Entonces optarán por lo último, algo que implicará derramamiento de sangre. Tiene consecuencias inmediatas, haijalishi itakua ni positive au negative, kufanikiwa au kutofanikiwa lakini aunque si miro a los "wenye kampuni" es como algo para lo que la mayoría de ellos no están preparados. Lo digo de nuevo, no están preparados en absoluto.

Kujikomboa kunahitajika mipango madhubuti, mipango inayoweka bayana nini tunahitaji, mipango yenye kujua tukitoka kituo A tunaenda kituo kipi kisha kipi na mwisho tunamalizia wapi. Hao viongozi wa msafara na wafuasi wao wanahitaji kua na "the same purpose, same objective sio kila mtu na yake. Mfano "fast-fast" ni kama alikua hamkubali CEO pekee ila yupo pa1 na MCC kama wenye dhamana ya kuongoza kampuni. Swali la kujiuliza ni hatumtaki CEO au hatumtaki BT au hatuitaki "Yanga"? Kama hatumtaki CEO, then who else?... Kama hatulitaki genge la BT, je ndio genge pekee lililopo? Au ndio pekee tunalolijua? Je kama shida ni "Yanga" hao "Msimbazi" tuna hakika kama wataweza kutufikisha nchi ya ahadi?

Tunachohitaji ni kipi haswa? Binafsi ndio naona ni swali la msingi kabla ya kila kitu. Historia haidanganyi, mambo mengine hayajatokea enzi za kale ni juzi tu miaka 10 imepita. Kwa zile tik taka za WAKAU kubadili mshika bendera kwa mwenye akili timam inampa picha tuna hawa tunao waita "wapambanaji" wa aina gani, wapo kwa ajili yetu au kwa ajil ya maslahi yao, and funny enough most ndio wale wale sema "wenye kampuni" ni wasahaulifu. So sioni muelekeo zaidi ya kwenda kuitia nyumba kiberiti kisha kulala kibarazani kwa jirani tukihisi tunakomoa kumbe tunajikomoa.

Kama hakuna same objectives, same purposes "wenye kampuni" wataendelea kutumika sana na kutolewa kafara kizembe mno while "opportunists" behind the curtains wana advance mbele kwa kila "crisis" inayojitokeza either kwa kupangwa au bahati mbaya japo binafsi siamini katika hilo la pili (bahati mbaya)
 
yoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
 
Attachments

  • Screenshot_20251119-205233_1.jpg
    Screenshot_20251119-205233_1.jpg
    181.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20251119-205745_1.jpg
    Screenshot_20251119-205745_1.jpg
    104.9 KB · Views: 15
Sawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule

Hii divide & Rule kwa kuwatumia mashekhe ubwabwa nimeielewa, Wakikaza inaweza ikafanya kazi

Maana wale ndugu zetu, wapo ambao huwa hawachuji taarifa lets see, me naongeza popcorn tu.
 
Kunaoneka Kuna watu wanfanya placing , Kuna Uzi wa malcom lumumba pia anawaza the same thing maandamano dar yalikuwa too well executed for first timers
Yeah niliuona pia...

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa hii issue ni wananchi tu.
Maana hata ukiangalia reaction ya mamlaka ni kama vile inatoa reaction kwa block ingine kuliko wananchi directly

Moreover, Japo wanajua public support/favour hawana kwa hiyo devide and rule imekuwa part ya kupata watu at least wengi wa kuwaunga mkono pasipo kuangalia long term impact ya wanachokifanya.

Na kwa upande mwingine hii inaonesha, pamoja na kuwa na pesa, power na international support. Lakini bado wanaogopa hasira ya umma kwa sababu power yao imeegemea hapo katika kuaminisha umma upo powerless lakini OCT29 imefungua kurasa ingine ambayo wao hawakuitarajia.

So kwa hesabu za kawaida tu, hali iliyopo haiwapi assurance yoyote kwa 2030 na mbaya zaidi wananchi wamesukumwa kama kete. So hawana wa kumuangushia zigo au individuals wa kudeal nao pasipo hasira ya wananchi kuamka.

Hivyo kuondosha watu kimya kimya ni best option lakini internet inawapa edge hiyo block nyingine uwezo wa kutumia hizo kete za kimya kimya kuipaka serikali matope zaidi "utekaji" tofauti na zama za traditional media.

So huu mchezo kwa nje na Yoga anavyosema, fate yote inaegemea kwa walio na power lakini mimi naona, hiyo BLOCK nyingine inawachezesha mchezo wao kwa hiyo ni kama fair game unless Yoga awe anaijua hiyo block ingine na athibitishe kuwa wao ni powerless na hawana back ya mataifa makubwa. Kitu ambacho si rahisi kwa nchi inayokaa katikati ya mabepari na wajamaa.
 
yoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?

Hakuwepo kwenye corridor za Jumba jeupe, alikuepo zake Huko Tandale anakula Tende
 
yoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
Hukumsoma katikati ya mstari...hizo alama za mshangao hayakuwa mapambo. Ulikuwa ujumbe huo
 
Please Be careful,
Ulikua sahihi.

Hapakuwa na Nairobi, India wala Cuba

Mzee aliamini watu wake alikataa kuweka maisha yake rehani kwa raia wa kigeni

Funzo kubwa sana hili; ngoja tuone kama mrithi atakua confidence hii

.......................................................................................................................................................................................................... flat line
 
Si quieren que ellos se bajen del carro, solo quedan dos jugadas:
👉Hacer silencio y dejar que la marea acomode todo, o
👉Que suene la tambora…

AsĂ­ es la pura candela.
If they want them to back down, there are only two options left: 👉Stay silent and let things settle down, or 👉Let the drums roll… That's just how it is.
 
La primera opción es fácil y segura sin derramamiento de sangre, excepto que muchos de los "wenye kampuni" que persuaden a "kukinukisha" son impulsados por las emociones, alentados por sus falsas imaginaciones, au niseme chuki walizo lishwa zime-overwhelm their Inteligence, ability ya kufanya maamuzi iko below common sense.

Entonces optarán por lo último, algo que implicará derramamiento de sangre. Tiene consecuencias inmediatas, haijalishi itakua ni positive au negative, kufanikiwa au kutofanikiwa lakini aunque si miro a los "wenye kampuni" es como algo para lo que la mayoría de ellos no están preparados. Lo digo de nuevo, no están preparados en absoluto.

Kujikomboa kunahitajika mipango madhubuti, mipango inayoweka bayana nini tunahitaji, mipango yenye kujua tukitoka kituo A tunaenda kituo kipi kisha kipi na mwisho tunamalizia wapi. Hao viongozi wa msafara na wafuasi wao wanahitaji kua na "the same purpose, same objective sio kila mtu na yake. Mfano "fast-fast" ni kama alikua hamkubali CEO pekee ila yupo pa1 na MCC kama wenye dhamana ya kuongoza kampuni. Swali la kujiuliza ni hatumtaki CEO au hatumtaki BT au hatuitaki "Yanga"? Kama hatumtaki CEO, then who else?... Kama hatulitaki genge la BT, je ndio genge pekee lililopo? Au ndio pekee tunalolijua? Je kama shida ni "Yanga" hao "Msimbazi" tuna hakika kama wataweza kutufikisha nchi ya ahadi?

Tunachohitaji ni kipi haswa? Binafsi ndio naona ni swali la msingi kabla ya kila kitu. Historia haidanganyi, mambo mengine hayajatokea enzi za kale ni juzi tu miaka 10 imepita. Kwa zile tik taka za WAKAU kubadili mshika bendera kwa mwenye akili timam inampa picha tuna hawa tunao waita "wapambanaji" wa aina gani, wapo kwa ajili yetu au kwa ajil ya maslahi yao, and funny enough most ndio wale wale sema "wenye kampuni" ni wasahaulifu. So sioni muelekeo zaidi ya kwenda kuitia nyumba kiberiti kisha kulala kibarazani kwa jirani tukihisi tunakomoa kumbe tunajikomoa.

Kama hakuna same objectives, same purposes "wenye kampuni" wataendelea kutumika sana na kutolewa kafara kizembe mno while "opportunists" behind the curtains wana advance mbele kwa kila "crisis" inayojitokeza either kwa kupangwa au bahati mbaya japo binafsi siamini katika hilo la pili (bahati mbaya)
🫡
 
Back
Top Bottom