Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Kumbe ujanielewa kipenzi sasa Narudia Tena na uwe na asubuhi njema

YEYE amesema hataki Tena kuwa HRO wa kiwanda!! ila YULE anesemekana ndio mmiliki wa kiwanda amesema hakuna kuacha akae hapo hapo apewe kiti Cha UHRO wa kiwandani na amesisitizs YEYE atangazwe sooon!!

Na amesema kuanzia leo watadhubiti mgomo kiwandani!!

YEYE atatangazwa sababu YULE amesema, na tayari bwana mtangazaji anayomatokeo ya YEYE.



Team babu wako wanapanbana kuanzisha phase two!
Mwenye kiwanda ni Jeuri na umri umemtupa mkono team babu wapunguze papara watulie wanaweza kuwin hii game Team babu wanakosa Mastermind
 
Poleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni


Kwenye hiki kiwanda bwana,,,,, YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,

maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!

Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,


Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,

Poleni Jamii ya kiwandani
jamii ya kiwandani inaonekana watapata pigo kubwa huyu mwenye kiwanda ndo wakuondoa
 
Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio. Ukidai haki yako ni vyema ukatimiza wajibu. Haki yako isiwe adhabu na kero kwenye haki za wengine. Demokrasia tunaitaka lakini si ya kuturudisha nyuma kwa kidogo tulichonacho. Kama unajiona bingwa wa demokrasia za kuchoma vitu anzeni kuchoma kwa mabingwa wa Demokrasia huko Marekani halafu muone moto wake. Siku zote Simba akilala usidhani ni nyau.🙏
Kituo cha mafuta kina thamani sawa na uhai wa binadamu naomba kuuliza?
 
Tukijenga utaratibu wa kuheshimiana hatuwezi kuulizana maswali ya hivi. Haya unayosema ni matokeo ya asiyefunzwa na Mama yake anafunzwa na Walimwengu.
Unaamini kila mama huwa na mafunzo ya maana?

Waliofanya Yale ya mji mwema mwanza ndiyo mafunzo ya mama zao ili wawe walimwengu wa kuwafunza watoto na vijana wadogo?
 
Back
Top Bottom