Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Wapendwa Tembeeleni Kambi za kaki mtaona wenyewe!!

mkiona mahema kwenye hizo Kambi mapya mapya mjue ni maandalizi , maelekezo yamesha toka!!

Take care, Hawa jamaa hawajajifunza!!

"SHOOT TO KILL"

na waliowashoot wamepongezwa na wamehaidiwa vinono!

Watch out
Bongo tumechoka Amani , viongozi na Raia Wanataka kunyukana tunaona wenzentu Sudan , Congo na Somalia wanafaidi haya ngoja yatukute.
 
Wapendwa Tembeeleni Kambi za kaki mtaona wenyewe!!

mkiona mahema kwenye hizo Kambi mapya mapya mjue ni maandalizi , maelekezo yamesha toka!!

Take care, Hawa jamaa hawajajifunza!!

"SHOOT TO KILL"

na waliowashoot wamepongezwa na wamehaidiwa vinono!

Watch out
So watu wafanye nini?
 
Kwa hiyo???
 
Watanzania wajinga sana yaani mtu amejaza wasukuma. Mama akaingia akajaza wazanzibari mpaka wilayani. Rais aliyeanzisha kufukuza kazi bila mchakato. Mama kafukuza wakurugenzi wa TISS wangapi ? Rais aliyependelea kwao, Nenda unguja ukaone palivyobadilika. Rais wa kwanza aliyemteua ndugu yake Biteko kuwa waziri. Mama sasa kaweka mkwe na binti kwenye uwaziri. Ombeni sana Mungu katiba ibadilishe la sivyo Rais ajae mwendo ni ule ule. Matatizo yite yatakayokuja mbeleni yameanzishwa na Magufuli. Watu walianza kutekwa na kupotezwa kipindi chake.
Mkuu umeanza kutupanga, Dotto Biteko na magufuli hawana undugu wowote, Wala hawakua poia na urafiki wala ukaribu wowote.
 
Watanzania wajinga sana yaani mtu amejaza wasukuma. Mama akaingia akajaza wazanzibari mpaka wilayani. Rais aliyeanzisha kufukuza kazi bila mchakato. Mama kafukuza wakurugenzi wa TISS wangapi ? Rais aliyependelea kwao, Nenda unguja ukaone palivyobadilika. Rais wa kwanza aliyemteua ndugu yake Biteko kuwa waziri. Mama sasa kaweka mkwe na binti kwenye uwaziri. Ombeni sana Mungu katiba ibadilishe la sivyo Rais ajae mwendo ni ule ule. Matatizo yite yatakayokuja mbeleni yameanzishwa na Magufuli. Watu walianza kutekwa na kupotezwa kipindi chake.
Hili la watu kuanza kutekwa wakati wa magufuli si kweli. Watu waneanza kutekwa toka zamani, mwandishi Stan katabalo alitekwa na kupotezwa baada ya kuandika habari za loliondo
 
Wapendwa Tembeeleni Kambi za kaki mtaona wenyewe!!

mkiona mahema kwenye hizo Kambi mapya mapya mjue ni maandalizi , maelekezo yamesha toka!!

Take care, Hawa jamaa hawajajifunza!!

"SHOOT TO KILL"

na waliowashoot wamepongezwa na wamehaidiwa vinono!

Watch out
mahema yameandaliwa kwa ajili ya nani kwenye hizo kambi?
 
asylum for all kakis and their famillies living in the society, they have been told to live in those hemas from first Dec till further notice since their intelligence told them their the target!!
Bahati nzuri watanganyika wa sasa sio wa miaka ya 60 huko, hawa hawaogopi kifo, kawataarifu kina Kizimkazi hatutarudi nyuma.
 
Wapendwa Tembeeleni Kambi za kaki mtaona wenyewe!!

mkiona mahema kwenye hizo Kambi mapya mapya mjue ni maandalizi , maelekezo yamesha toka!!

Take care, Hawa jamaa hawajajifunza!!

"SHOOT TO KILL"

na waliowashoot wamepongezwa na wamehaidiwa vinono!

Watch out

Hii code ya kaki imenitos mchezoni
 
Back
Top Bottom