amount
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 388
- 700
ukitumia sana feelings kwenye hzi comments za yoga lazima useme unakatishwa tamaa but usipo attach feelings you will take note 📝Watu wanapenda kuambiwa wanachotaka kuskia, Ukiwaambia kingine wanakuona hauko upande wao.
Hat polisi wapo ambao wapo na wananchi, na ndo maana skuile mwafyrls anapo watisha polisi wakamrecord na kutuma kwenye magroup.