Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

For those who did not understand............ I meant to say,

Its officially that The company is a locked house with keys held by a few, To mean that,...... all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate. The kingdom serves its keepers, and questions are treated as crimes from now on wards

To be safe stay silent!! Otherwise it's the end!!! No hope no lights, only nature to decide
Nikiwaelezee wale wasioelewa............ Nilimaanisha kusema,

Kampuni rasmi sasa ni nyumba iliyofungwa na funguo ziko mikononi mwa wachache. Kwa maneno mengine, madaraka yote ya kampuni yametangazwa mikononi mwa watu binafsi, na ukimya unabaki mlango. Ufalme unawatumikia walinzi wake, na kuuliza maswali kutachukuliwa kama uhalifu kuanzia sasa.

Ili kuwa salama kaa kimya!! Vinginevyo ni mwisho!!! Hakuna matumaini, hakuna mwanga, tu asili iwe inayoamua.
 
Jamanieee, natumaini mko poa sana

Ila watu wanadharau nyieee...... yaani Mgejua ........... Kuwa anacheka zake sana tu,

🤔"
Nawajuza tu kuwa kwenye kikome chao wamekubaliana kuwa hata iweje hakuna kuonesha kuwa Kwa namna yoyote Ile eti wao wamekosea, na mmoja kamjaza anamwambia

"inabidi meseji iwe clear kuwa your the CEO na hakuna mtu wa kuku chezea chezea, ukiwasikiliza hao watakutikisa kweli kweli"

Na kwa taarifa yenu hao kamaba mnao waamini na kuaminishwa wako na nyingi, ndio watawalengesha kwa wale wa kika!

kaaa kwa utayari, wameagizwa watumie gari za kijapani kuwanyakuwa nyakuwa huko mitaani!

Mkitaka kuwashinda msije na hisia, critical analysis is needed vinginevyo jambo linaenda kujirudia na hawana soni.

Mbuga zinauma nyie!!!🤔😂

Love y'all
Duh!
 
Sawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule
Kwa hii statement yako nahitimisha hata wewe huna uhakika , maana ile Kanuni ya divide and rule imeshafeli tayari

Poleni sana , kiufupi ni CCM has fallen kama empire na tawala zingine duniani
 
Kwa hii statement yako nahitimisha hata wewe huna uhakika , maana ile Kanuni ya divide and rule imeshafeli tayari

Poleni sana , kiufupi ni CCM has fallen kama empire na tawala zingine duniani
Hauwezi kuongoza familia ikiwa unapata resistance ndani ya familia na nje ya familia.

Mwendazake aliweza sababu ndani ya familia alikuwa na support, ndiyo maana aliweza kuwanyea mabeberu na wakafyata.

Ila this time karata hawajazichanga vizuri, resistance ya ndani inafanya hata wawekezaji na watalii wakimbie sababu ya uncertainity.
 
yoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
Umegusa kwenye mshono, Yoga ni propaganda mashine ambayo imeshafeli
 
yoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
Finally I verified huyu ni mwanamtandao.
 
Hauwezi kuongoza familia ikiwa unapata resistance ndani ya familia na nje ya familia.

Mwendazake aliweza sababu ndani ya familia alikuwa na support, ndiyo maana aliweza kuwanyea mabeberu na wakafyata.

Ila this time karata hawajazichanga vizuri, resistance ya ndani inafanya hata wawekezaji na watalii wakimbie sababu ya uncertainity.
Mambo rahisi kama haya kiongozi unashindwaje. Kweli kiburi kibaya sana.
 
Back
Top Bottom