Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Yeah niliuona pia...

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa hii issue ni wananchi tu.
Maana hata ukiangalia reaction ya mamlaka ni kama vile inatoa reaction kwa block ingine kuliko wananchi directly

Moreover, Japo wanajua public support/favour hawana kwa hiyo devide and rule imekuwa part ya kupata watu at least wengi wa kuwaunga mkono pasipo kuangalia long term impact ya wanachokifanya.

Na kwa upande mwingine hii inaonesha, pamoja na kuwa na pesa, power na international support. Lakini bado wanaogopa hasira ya umma kwa sababu power yao imeegemea hapo katika kuaminisha umma upo powerless lakini OCT29 imefungua kurasa ingine ambayo wao hawakuitarajia.

So kwa hesabu za kawaida tu, hali iliyopo haiwapi assurance yoyote kwa 2030 na mbaya zaidi wananchi wamesukumwa kama kete. So hawana wa kumuangushia zigo au individuals wa kudeal nao pasipo hasira ya wananchi kuamka.

Hivyo kuondosha watu kimya kimya ni best option lakini internet inawapa edge hiyo block nyingine uwezo wa kutumia hizo kete za kimya kimya kuipaka serikali matope zaidi "utekaji" tofauti na zama za traditional media.

So huu mchezo kwa nje na Yoga anavyosema, fate yote inaegemea kwa walio na power lakini mimi naona, hiyo BLOCK nyingine inawachezesha mchezo wao kwa hiyo ni kama fair game unless Yoga awe anaijua hiyo block ingine na athibitishe kuwa wao ni powerless na hawana back ya mataifa makubwa. Kitu ambacho si rahisi kwa nchi inayokaa katikati ya mabepari na wajamaa.
Mambo yakizidi kwenda left Hilo jumba bovu lazima ataangushiwa mtu
 
Eti Mastermind oooo Godfather labda wa Uporaji, Umafia, Mchawi na upumbavu,
Hivi inakuja akilini, mtoto wa Bakhressa au Moo Ashirikiane na wezi wa mtaani kuiba mali za digi wake kisha akangawane nao mali za nyumbani kwao?
Akajifunze kwa PK anaiba huko Congo anaenda kujenga nchi yake, akajifunze kwa Sheikh Maktoum wa Dubai alivyosimamia resources za nchi yake kuijenga Dubai.
Akajifunze kwa wazungu Wafaransa wanaiba rasilimali mbali huko wanaenda kujenga nchi za mababu, watoto, wajukuu, vitukuu zao.

Je huyu ana akili kweli ?
Kama anazo anawezaje kushirikiana na watu wa nje kufanya uporaji wa rasilimali za nchi yake?
 
Jamanieee, natumaini mko poa sana

Ila watu wanadharau nyieee...... yaani Mgejua ........... Kuwa anacheka zake sana tu,

🤔"
Nawajuza tu kuwa kwenye kikome chao wamekubaliana kuwa hata iweje hakuna kuonesha kuwa Kwa namna yoyote Ile eti wao wamekosea, na mmoja kamjaza anamwambia

"inabidi meseji iwe clear kuwa your the CEO na hakuna mtu wa kuku chezea chezea, ukiwasikiliza hao watakutikisa kweli kweli"

Na kwa taarifa yenu hao kamaba mnao waamini na kuaminishwa wako na nyingi, ndio watawalengesha kwa wale wa kika!

kaaa kwa utayari, wameagizwa watumie gari za kijapani kuwanyakuwa nyakuwa huko mitaani!

Mkitaka kuwashinda msije na hisia, critical analysis is needed vinginevyo jambo linaenda kujirudia na hawana soni.

Mbuga zinauma nyie!!!🤔😂

Love y'all
 
Wafanye jambo mambo yarudi kama zamani haya sio maisha ata kidogo
 
This is sad
 
She's going down with her boss
 
Matumizi ya nguvu huwa na lengo la kuogopesha

Katika nchi nyingi duniani (si Tanzania pekee), serikali inapokabiliwa na maandamano makubwa, hutumia nguvu kubwa ili:

Kuwatisha watu wasirudi barabarani

Kuwafanya wajisikie hawana nguvu

Kuzuia momentum ya umma

Kutoa “mfano” kwamba gharama ya maandamano ni kubwa sana

Kwa mantiki ya kawaida, baada ya watu kuuawa, wengi wangetegemewa “kukaa kimya.”

Lakini mara nyingi mambo huwa tofauti.

-Kwanini watu wanaendelea kuandamana LICHAA YA WOGA?

Hapa ndipo tunapoingia kwenye human nature na collective psychology.

(a) Woga unaweza kubadilika kuwa hasira

Katika baadhi ya jamii, badala ya kuogopa, watu wanajikuta wakiuliza:

“Kwa nini ndugu yetu ameuliwa?”

“Kwa nini haki haikutendeka?”

“Ikiwa tumenyamaza leo, kesho inaweza kuwa mbaya zaidi.”

Hasira + maumivu = watu kuamua kufeel wana deni la kupigania kilichopotea.

(b) Ukandamizaji ukizidi, watu wanaweza kukosa cha kupoteza

Katika saikolojia ya maandamano:

“When people lose fear of losing, fear stops controlling them.”

Watu wanaweza kuona maisha yao tayari ni magumu, wamenyang'anywa sauti, haki, na usalama — hivyo wanahisi hata kukaa kimya hakuwalindi.

(c) Kifo cha watu kinaumiza jamii nzima

Matukio makubwa ya mauaji huwa kama "spark."

Hivyo, badala ya kuzuia maandamano, mara nyingi yanaongeza hamasa — jeuri ya dola inapoonekana wazi, watu wengine hutaka kuonyesha mshikamano.

(d) “Generational bravery” — mara nyingi vijana hawana woga wa zamani

hawajapitia hofu ya enzi za nyuma

wana mitandao

wana anger ya kukosa ajira na haki

Youth bulge = motivation yangi ya kuchukua majukumu kijamii.

(e) Maandamano huwa si decision ya mtu mmoja — ni ya UMATI

Psychology ya umati ni tofauti kabisa na psychology ya mtu mmoja.

Umati unapoanza kuamini:

“tuko wengi”

“haiwezekani tukafa wote”

“hii ni nchi yetu”

hamasa inakuwa kubwa kuliko hofu.

3️⃣ Human nature ina sehemu kubwa hapa

Kwa mujibu wa tafiti, binadamu huwa na tabia tatu za msingi zinazoendesha upinzani:

1️⃣ Haki (Justice drive)

Watu wanapohisi haki imepindishwa, wanakuwa tayari kuchukua hatari.

2️⃣ Utambulisho (Identity drive)

Uneness — kuwa sehemu ya kitu kikubwa kuliko mtu mmoja.

3️⃣ Hofu ikizidi kiwango fulani, haina tena nguvu

Hofu ina limit.
Ikizidi, inageuka kuwa “nimechoka.”

4️⃣ Kwa nini hii inaweza kutokea Tanzania sasa

Kwa ujumla (bila kuchochea), Tanzania sasa ina mchanganyiko wa:

Uchungu wa mauaji

Hasira ya uchaguzi

Youth frustration

Feeling of injustice

Symbolism ya tarehe 9 Dec

Wananchi kutaka dunia ijue kilichotokea

Hivyo, watu wengine hawaoni tena woga kama kinga — wanaona kama mzigo.

5️⃣ Usichukulie kuwa watu hawajui hatari

Watu wanaofanya maandamano si kwamba hawaogopi risasi.

Ni kwamba:

Wanachokihofia zaidi ni kuendelea kuishi katika hali wanayoona haina haki.

Hicho ndicho kinachofanya human beings, popote duniani, kuendelea kupambana licha ya nafasi ya madhara.
 
Nimesoma yote kwa tabasamu kuu!
 
Back
Top Bottom