Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Yoga yupo kutisha watu eti hata mfanyeje hamtaweza😃 michezo sana hii kmmk
Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,

Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️‍🩹❤️‍🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??

Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!

Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,

watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc

Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea

Any ways tukutane DEC!!!!!
 
Ninachokiona hapo mbeleni ni handover kwa deputy ceo wa kampuni tu coz main CEO amechoka sana hasta kwa kumtizama tu!!

Nasubiria kuona!
 
Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,

Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️‍🩹❤️‍🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??

Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!

Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,

watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc

Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea

Any ways tukutane DEC!!!!!

Kipenzi ukweli hua ni mchungu sana na Huwa unakataliwa,

Ogopa mtu anaye kupa matumaini hewa❤️‍🩹❤️‍🩹
Bado mnapenda kupewa matumaini yasiyo kuwepo
Niliwahi kusema hapa msisubiri ndege stand sindio??

Narudia Tena Hawa watu wanadharau ya Hali ya juu sana, Tena ya juu sana juu yenu and they are ready for anything!!

Kupambana nao inabidi vichwa vitulizwe,

watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc

Its gang gang!! Kwa namna hii ya kuamua mambo kwa hisia na mihemko na ninacho kijua, hawatoki kirahisi kama mnavyo Dhani!! Muda utaongea

Any ways tukutane DEC!!!!!
Wafikishie habari kwamba tupo tayari kuingia msituni. Hawataipeleka hii kampuni watakavyo. Si wanataka vita, tunaanza na koo zao kabla ya kuwafikia wao.
 
Wazee wa Oman, vikao vingi sana na dogo dully.
But what is coming for them, they will be suprised.
Tukutane december 😅😅
Poor you
Wanavyosema december usifikiri ndiyo nchi inakombolewa, ndiyo inazidi kugeuzwa familia 80%.
The only way kutoka hapa naona ni wabongo kila mtaa kuingia road kuleta uharibifu wa kila kitu tuanze moja.
Bongo sirudi ugaigai mwingi.
 
Nakuapata vizuri yoga hawatoki kirahisi means kutoka kupo japo sio rahisi …. Je tutegemee surprise yoyote within hii miaka 5 au had kwanzia 2030
mali ya urithi ki afrika Huwa ina migogoro sana, boss anao mpango wa kumrithisha Kijana wake, CEO nae ano mpango wa kuwafanya wanawe wawe the last decision top maker,

mgogoro wao ujao ndio nafuu kwenu
 
Back
Top Bottom