Kwa muago ulioupata dsm kuanzia jana hadi Leo inatosha kabisa, nadhan huko uliko utakuwa na furaha, nenda kwa amani Jpm
 
Mnawasiwasi atafufuliwa na Gwajima?
 

Mama yangu aliniambia usimuombee mtu yoyote baya ungali unapumua.... Sasa watanzania tulivyoumia na tunavyojua kukumbukaaa, wewe subiri tuu. Na uzuri wetu sisi hatunaga maneno.., tunajikalia kimya tuu na kutazama

Lala Salama kabisa kipenzi chetu John Pombe Magufuli 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…