CIA walimuua Bob Marley?

CIA walimuua Bob Marley?

Baada ya kupata maelezo hayo sasa nimekupata mkuu. Ila ni hivi huyo aliyefia nchini Ujerumani ni Joseph Hill ambaye alikuwa ni mwimbaji kiongozi katika kundi liitwalo Culture. Na nyimbo ulizotaja ni za Culture kama kundi.

Pengine kutokana na Joseph Hill kuimba nyimbo nyingi katika kundi hilo ndiyo kukafanya watu kudhani kwamba jina Culture ni la mtu mmoja kama solo artist wakati sivyo. Hivyo kundi la Culture bado lipo na mmoja wa wanamuziki walio katika kundi hilo hadi sasa ni mtoto wa marehemu Joseph Hill aitwae Kenyatta Hill.
aisee mkuu nipo nasoma! kuna maelezo yananichanganya kias ila majibu yako yamenipa mwanga mzuri sana!!.....inawezekana kukawa na group but the singer anakuwa mmoja tu! maana nyimbo zoteee kaimba Joseph na kwingine wameandika km ndo Culture huyo huyo! poa lkn acha nijifunze zaidi asante mkuu
 
Kuna madai ya kila sampuli, kuna wanao dai CIA ilihusika, kuna wanao dai kundi la Mafia ndio walihusika kutokana na mdogo wake ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wa Serikali ya Kennedy kupanga kuwatia kizuizini mapapa hao wa kuhuza madawa ya kulevya, kuna wanao dai kwamba Kennedy kupenda penda wanawake kulimfanya awe na uadui na kundi la mafia wakimgombania mrembo Marilyn Monroe, wengine wanasema kwa kuwa Kennedy alijaribu mara nyingi kumuua Fidel Castrol ilifika wakati Fidel akachoshwa na upuuzi huo akahamua kushirikiana na KGB wakawakodi ma marksmen majasusi ili wamumalize Kennedy, wapo wanao sema makamu wa Raisi wa Kennedy Mr. L.Johnson ndiye muhusika mkuu wa kifo cha Rais Kennedy.

Binafsi sina shaka kwamba Makamu wa Raisi Mr. L.Johnson ndiye alisuka mipango ya kumuua Kennedy akishirikiana na matajiri wenye viwanda vya kuhunda silaha kweye jimbo lake la Texas aliko pigwa risasi Kennedy, matajiri hao walifikia decision ya kumuua kutokana na msimamo wake wa kutaka kisitisha vita huko Vietnam, wenye viwanda wakaona anataka kuwaharibia biashara ya kuhuza silaha afadhili wamuwahi mapema.

Mkewe Kennedy alikuja gundua mhusika mkuu wa mauuaji ya mumewe hakiwa bado yupo Dallas Texas, wanasema wakati mwili wa Kennedy unasafirishwa kwa ndege kutoka Texas kuja Washington DC, ndani ya ndege walikuwemo makamu wa Rais L.Johnson na mke wa Kennedy among others, wanasema mama huyo alipata ujasiri akasimama akamfuata Johnson alipo kuwa amekaa akamwambia bila ya kumungunya maneno kwamba ana uhakika ndiye anahusika na kifo cha mumewe, wanasema Johnson alinamisha kichwa chini hakujibu kitu!

Kazi ya kumuua Kennedy walipewa marksmen zaidi ya mmoja ambao walikuwa hawajuani, walifanya hivyo kuhakikisha kwamba si rahisi wote waka miss target, kati yao mmoja wao alikuwa bingwa sana wa kulenga shabaha, aliwahi kuhusika kwenye operation kama hizo miaka ya nyuma akitumiwa na CIA alipo kuwa jeshini, ndio alikuja kukili juzi juzi hapa kabla hajafa kwamba ndiye alifanikiwa kumpiga risasi ya kichwani Kennedy akitumia risasi maalum (dum dum bullet) ambazo ulipuka zikigusa mfupa au kitu kigumu, cha ajabu mlenga shabaha huyo alijificha nyuma ya overgrown shrubs karibu na jengo la glassknoll huku akilindwa na Polisi (FBI), baada ya kumpiga risasi Kennedy akafungia silaha yake kwenye briefcase na kuondoka zake bila ya kubughudhiwa na mtu!!

Madai ya kusema muuaji alikuwa ni Mr.Oswald si kweli huyo alikuwa ni chambo tu, hata silaha walio dai walimkuta nayo kwenye jengo la ghorofa sita ilikuwa planted tu na FBI ndio maana silaha ilipo pelekwa kwenye mahabara kwa uchunguzi ikagundulika haikuwahi kutumika siku za karibuni, hata firing mechanism zake zilikuwa na walaki mkubwa, hivyo ni dhahili FBI ilikuwa imepania kumbambikizia kesi Oswald.

cc FaizaFoxy
 
Ni
alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Ni vigumu mtu uliyekulia kijijini,ukaja mjini sababu ya kazi au elimu, kuujua umuhimu wa bob marley
 
Hapa nadhani story ni tofauti kidogo.....haihusiani na mkasa wa Bob........
Maisha ya luckdube na bob yalikuwa tofauti,bob alikuwa mwanamuzi vilevile mwanasiasa,bob alikuwa rastafari,bob aliuwawa sababu ya ujumbe wake,wakati luck dube hakuwa mwanasiasa,hakuwa rastafari,ila alikuwa mwimbaji reggae,na kifo chake kilitokata na ajali ya ujambazi,yaani majambazi walikuwa wanapora gari yake
 
amini tu ndo ilivyo! CIA wasikie kwa jirani,kati ya nyimbo zinazoishi na zitaishi siku nyingi zaidi ni nyimbo za reggae(roots)! salute kwako mkuu,leo nakula reggae tu "live concert za bob marley"
hilo alithibitisha bob mwenyewe ktk siku zake za mwisho za uhai wake,alimwambia mama yake,nikisikiliza nyimbo zangu naona zinaujumbe mzito,naamini hazitakuja futika kamwe
 
hahahah jamaniiii!! humu kuna vibwanga...
Wewe sio rastafari,rastafari ni mtu mwenye imani busara upendo na amani,wewe hivyo vitu inaonekana huna,wewe ni babyloni mpotoshaji wa rastafari,na hujui maana ya bangi,sababu kila anayevuta bangi sio rastafari,hata wezi na vibaka wanavuta
 
Wewe sio rastafari,rastafari ni mtu mwenye imani busara upendo na amani,wewe hivyo vitu inaonekana huna,wewe ni babyloni mpotoshaji wa rastafari,na hujui maana ya bangi,sababu kila anayevuta bangi sio rastafari,hata wezi na vibaka wanavuta
OMG...hii comment yote inanihusu mie??????
 
Toka lini bangi ikaleta kansa,huu mmea umekuwa ukizushiwa mambo mengi sana ya ajabu ajabu,tokea dunia ianze mpaka leo hakujawahi kuripotiwa kifo chochote kilichosababishwa na uvutaji wa bangi.
 
N
Waislamu wa wapi hao maana kuna washikaji zangu wengi Waislamu ni wapenzi wa Bob Marley.
Sema now days kuna mashehk wanaendesha mihadhara kuhusu hawa jamaa sasa kupitia mashehk ndo wamegundua maneno mengi katika nyimbo za Bob ni za kumsifu shetani.
Ila watu hawajui tu na hili haliko kwa Bob tu lipo karibu kwa wanamuziki wote kwa sa babu karibia wanamuziki wote wapo huko.
Naomba unitajie wimbo mmoja tu,ambao bob ameimba anamtukuza sheteni?
 
Back
Top Bottom