Watu watumwa wa mawazo unapomtaja Bob wao wanawianisha na bangi,kuna watu walivuta na wanavuta bangi zaidi ya Bob, Bob ni zaidi hata ya hawa tunaowasikiliza na kuwaamni na kuwapigia makofi,
Fuatilieni historia yake na ujumbe wa music wake ndo mtajua jamaa alikuwa zaidi ya binadamu wa kawaida,jamaa alikuwa na kitu kikubwa sana ndani yake,
Jk ambae ninyi mnamuheshimu sana alipomuona Bob kwa nje alivo,jamaa alikataa hata kumsalimia,lkn baada ya Bob kuimba ujumbe ulokuwepo kwe music wake ulifanya jk akampe mkono na kumualika tz,mnao mdharau Bob ni sababu mmeathiriwa na Babylon system na elimu yao,dharauni kataeni lkn ukweli utaishi jamaa was great,huezi hata kufananisha kichwani alivokuwa smart na hawa wanasiasa wenu na viongozi wenu