CIA walimuua Bob Marley?

CIA walimuua Bob Marley?

hivi kwann JOHN F KENNEDY aliuwawa na CIA ?

Kuna madai ya kila sampuli, kuna wanao dai CIA ilihusika, kuna wanao dai kundi la Mafia ndio walihusika kutokana na mdogo wake ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wa Serikali ya Kennedy kupanga kuwatia kizuizini mapapa hao wa kuhuza madawa ya kulevya, kuna wanao dai kwamba Kennedy kupenda penda wanawake kulimfanya awe na uadui na kundi la mafia wakimgombania mrembo Marilyn Monroe, wengine wanasema kwa kuwa Kennedy alijaribu mara nyingi kumuua Fidel Castrol ilifika wakati Fidel akachoshwa na upuuzi huo akahamua kushirikiana na KGB wakawakodi ma marksmen majasusi ili wamumalize Kennedy, wapo wanao sema makamu wa Raisi wa Kennedy Mr. L.Johnson ndiye muhusika mkuu wa kifo cha Rais Kennedy.

Binafsi sina shaka kwamba Makamu wa Raisi Mr. L.Johnson ndiye alisuka mipango ya kumuua Kennedy akishirikiana na matajiri wenye viwanda vya kuhunda silaha kweye jimbo lake la Texas aliko pigwa risasi Kennedy, matajiri hao walifikia decision ya kumuua kutokana na msimamo wake wa kutaka kisitisha vita huko Vietnam, wenye viwanda wakaona anataka kuwaharibia biashara ya kuhuza silaha afadhili wamuwahi mapema.

Mkewe Kennedy alikuja gundua mhusika mkuu wa mauuaji ya mumewe hakiwa bado yupo Dallas Texas, wanasema wakati mwili wa Kennedy unasafirishwa kwa ndege kutoka Texas kuja Washington DC, ndani ya ndege walikuwemo makamu wa Rais L.Johnson na mke wa Kennedy among others, wanasema mama huyo alipata ujasiri akasimama akamfuata Johnson alipo kuwa amekaa akamwambia bila ya kumungunya maneno kwamba ana uhakika ndiye anahusika na kifo cha mumewe, wanasema Johnson alinamisha kichwa chini hakujibu kitu!

Kazi ya kumuua Kennedy walipewa marksmen zaidi ya mmoja ambao walikuwa hawajuani, walifanya hivyo kuhakikisha kwamba si rahisi wote waka miss target, kati yao mmoja wao alikuwa bingwa sana wa kulenga shabaha, aliwahi kuhusika kwenye operation kama hizo miaka ya nyuma akitumiwa na CIA alipo kuwa jeshini, ndio alikuja kukili juzi juzi hapa kabla hajafa kwamba ndiye alifanikiwa kumpiga risasi ya kichwani Kennedy akitumia risasi maalum (dum dum bullet) ambazo ulipuka zikigusa mfupa au kitu kigumu, cha ajabu mlenga shabaha huyo alijificha nyuma ya overgrown shrubs karibu na jengo la glassknoll huku akilindwa na Polisi (FBI), baada ya kumpiga risasi Kennedy akafungia silaha yake kwenye briefcase na kuondoka zake bila ya kubughudhiwa na mtu!!

Madai ya kusema muuaji alikuwa ni Mr.Oswald si kweli huyo alikuwa ni chambo tu, hata silaha walio dai walimkuta nayo kwenye jengo la ghorofa sita ilikuwa planted tu na FBI ndio maana silaha ilipo pelekwa kwenye mahabara kwa uchunguzi ikagundulika haikuwahi kutumika siku za karibuni, hata firing mechanism zake zilikuwa na walaki mkubwa, hivyo ni dhahili FBI ilikuwa imepania kumbambikizia kesi Oswald.
 
Naomba niulize hivi mbona wanaharakati wengi wa magharibi huwa ni waislam na hata kama walikua wakristo then huwa wana change kuwa waislam
Swali zuri sana Da Hustla! Unajua kwa Marekani ilikuwa ni kama "kumtupa jongoo na mti wake kabisa!!!" Weusi wa Marekani waliuona Ukristo ni kama dini ya mkandamizaji, dini ya mbaguzi na hivyo wanamapinduzi wa mrengo mkali waliususa na kutafuta mbadala wake. Waliokuwa mstari wa mbele wakaanza kuukimbia kwanza utamaduni wa mtu mweupe na kuyachukua majina ya Kiafrika. Leroi Jones akawa Imamu Amiri Baraka, zikazuka shule kwa mfano mmoja iliitwa "Ujamaa Shule" (iliyoko1554 8th Street, NW, Washington, DC 20001) , weusi wakabuni sherehe yao iliyoitwa "Kwanzaa" (inayotumia falsafa ya Kiafrika tena kwa Kiswahili - kwa mfano kudumisha umoja, kujichagulia, imani, nia); na mengine kundi kubwa la Wamarekani weusi likahamia Ghana moja kwa moja. Nakumbuka hata lilikuwepo genge la wahuni Wamarekani weusi likijiita "Mau Mau." Hapo ndipo Elijah Muhammad naye akaanzisha dini ya Weusi tofauti na ile ya wababe wao (Ukristo) na kuuiita Taifa la Kiislamu (Nation of Islam), wakiuona Uislamu kama ni dini ya watu wengineo zaidi ya Wazungu wa kwao. Ndipo akina Cassius Clay wakajiunga na Taifa la Kiislamu na kubadili majina na kuwa Muhammad Ali, Malcolm X akawa Abdul Malik Al Shabbaz wengi wakafuata na kuyaacha majina yao na kuyachukua ya Kiislamu. Tukawasikia akina Maulana Karenga (zamani Ronald McKinley Everret), hata NBA ikawapata akina Kareem Abdul Jaabar (zamani akiitwa Ferdinand Lewis Alcindor). Kwangu huo ulikuwa ni ususaji wa mambo ya mkandamizaji katika nyanja ya kidini na utamaduni. Tumeiona hiyo India wakati Mohandas Karamchand Gandhi alipowaongoza Wahindi kususia nguo kutoka Uingereza na kuanza kufuma za kwao hadi leo wanapendeza sana wakivaa nguo zao. Unaweza kuyaita mapinduzi ya kiutamaduni na ya kiimani. Uislamu ulikuwa karibu sana kama dini mbadala isiyokuwa na mizizi ya kimagharibi. Kule Afrika Kusini aliishi mwanaharakati na mwandishi aliyeitwa Peter Abrahams. Ameandika vitabu kama vile "Mine Boy," "Tell Freedom" na "A Wreath for Udomo." Huyu aliususia Ukristo baada ya kuingia kanisani katika mji mmoja ukubwani mwake na kuhamishwa asikae viti vya mbele kwani vilitengwa kwa ajili ya weupe wa huko. Alipoinuka na kutoka nje hakurudi tena kanisani akawa Mkomunisti mpaka alipokufa muongo mmoja ama miongo miwili iliopita. Naye aliususa Ukristo wa Kaburu na kuupokea Ukomunisti uliokuwa ukikataa imani ya kidini. Ni ile ile kutupa jongoo na mti wake kabisa.
 
Nimekukubali kiongozi kweli mwanahararakati tena wa hali ua juu sana
 
Kansa ilipandikizwa   never heard km kansa inawezaka kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine...hizo ni porojo tu kk cuz nowdayz kila kifo cha mtu maarufu utadikia CIA inahusika..no kwa hili napata mashaka na ufafanuzi
 
hata Msaga Sumu akifa utasikia CIA hao washafanya yao.
 
Wamejikomoa wenyewe,
Tunawashukuru kwa ku,uuwa Bob na kutuachia bangi zetu.Mbaya zaidi wangemuuwa Bob Marley na Wakamuuwa Bangi hapo wangenikera saaan
Msiovuta Bangi mnapata tabu sana,Sie wavuta Bangi tunawasiliana na Bob Marley na kuongea nae kama kawaida tu,na tunagonga tano.feelings za Ganja acha kabisa,yule jamaa mzimu wake upo pale.
Sasa ukitaka kuwasiliana na Bob na kupata ushauri wowote kutoka kwake,naomba tafuta Ganja kisha piga puri kama nne hivi,utaibukia Jamaica,Masharti yake tu mtu aiskustue wala kukusemesha wakati wa feelings,mwambie stim zinalipiwa.
Sasa kama wanaweza wauwe na Bangi.
ehhh,sasa ndio nimeandika nini !!!
Bangi imepanda kichwani.
 
Kansa ilipandikizwa   never heard km kansa inawezaka kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine...hizo ni porojo tu kk cuz nowdayz kila kifo cha mtu maarufu utadikia CIA inahusika..no kwa hili napata mashaka na ufafanuzi
Kaka kansa inaweza kutengenezwa maabara na kusafilishwa kwa namna mbalimbali.
 
Uhakika sote hatujuwi ila tunalishwa dose za media. Ha ha
Bob sababu kubwa ni kuamua kutoka kanisa la cults ambao devil worshippers .halafu wa kaanza kumuangusha .kawaida ukitoka katika ibada zao wanakuvunja vunja kwa kutumia media kisha wanakumaliza kwa dose za drugs na kutoa sababu mbovu
 
alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Kuielewa impact yake lazima uwe na uwezo wa kuzielewa na kuzipambanua tungo zake.

Huwezi kumtofautisha na Martin Luther au Malcolm X, alikuwa ni mwanaharakati kupitia muziki.

Msikilize hapo.

Nyimbo zake zikipigwa zinawavutia wengi.

Kuna madai ya kila sampuli, kuna wanao dai CIA ilihusika, kuna wanao dai kundi la Mafia ndio walihusika kutokana na mdogo wake ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wa Serikali ya Kennedy kupanga kuwatia kizuizini mapapa hao wa kuhuza madawa ya kulevya, kuna wanao dai kwamba Kennedy kupenda penda wanawake kulimfanya awe na uadui na kundi la mafia wakimgombania mrembo Marilyn Monroe, wengine wanasema kwa kuwa Kennedy alijaribu mara nyingi kumuua Fidel Castrol ilifika wakati Fidel akachoshwa na upuuzi huo akahamua kushirikiana na KGB wakawakodi ma marksmen majasusi ili wamumalize Kennedy, wapo wanao sema makamu wa Raisi wa Kennedy Mr. L.Johnson ndiye muhusika mkuu wa kifo cha Rais Kennedy.

Binafsi sina shaka kwamba Makamu wa Raisi Mr. L.Johnson ndiye alisuka mipango ya kumuua Kennedy akishirikiana na matajiri wenye viwanda vya kuhunda silaha kweye jimbo lake la Texas aliko pigwa risasi Kennedy, matajiri hao walifikia decision ya kumuua kutokana na msimamo wake wa kutaka kisitisha vita huko Vietnam, wenye viwanda wakaona anataka kuwaharibia biashara ya kuhuza silaha afadhili wamuwahi mapema.

Mkewe Kennedy alikuja gundua mhusika mkuu wa mauuaji ya mumewe hakiwa bado yupo Dallas Texas, wanasema wakati mwili wa Kennedy unasafirishwa kwa ndege kutoka Texas kuja Washington DC, ndani ya ndege walikuwemo makamu wa Rais L.Johnson na mke wa Kennedy among others, wanasema mama huyo alipata ujasiri akasimama akamfuata Johnson alipo kuwa amekaa akamwambia bila ya kumungunya maneno kwamba ana uhakika ndiye anahusika na kifo cha mumewe, wanasema Johnson alinamisha kichwa chini hakujibu kitu!

Kazi ya kumuua Kennedy walipewa marksmen zaidi ya mmoja ambao walikuwa hawajuani, walifanya hivyo kuhakikisha kwamba si rahisi wote waka miss target, kati yao mmoja wao alikuwa bingwa sana wa kulenga shabaha, aliwahi kuhusika kwenye operation kama hizo miaka ya nyuma akitumiwa na CIA alipo kuwa jeshini, ndio alikuja kukili juzi juzi hapa kabla hajafa kwamba ndiye alifanikiwa kumpiga risasi ya kichwani Kennedy akitumia risasi maalum (dum dum bullet) ambazo ulipuka zikigusa mfupa au kitu kigumu, cha ajabu mlenga shabaha huyo alijificha nyuma ya outgrowth karibu na jengo la glassknoll huku akilindwa na Polisi (FBI), baada ya kumpiga risasi Kennedy akafungia silaha yake kwenye briefcase na kuondoka zake bila ya kubughudhiwa na mtu!!

Madai ya kusema muuaji alikuwa ni Mr.Oswald si kweli huyo alikuwa ni chambo tu, hata silaha walio dai walimkuta nayo kwenye jengo la ghorofa sita ilikuwa planted tu na FBI ndio maana silaha ilipo pelekwa kwenye mahabara kwa uchunguzi ikagundulika haikuwahi kutumika siku za karibuni, hata firing mechanism zake zilikuwa na walaki mkubwa, hivyo ni dhahili FBI ilikuwa imepania kumbambikizia kesi Oswald.
oooh thanks for this good article
 
Kuna madai ya kila sampuli, kuna wanao dai CIA ilihusika, kuna wanao dai kundi la Mafia ndio walihusika kutokana na mdogo wake ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wa Serikali ya Kennedy kupanga kuwatia kizuizini mapapa hao wa kuhuza madawa ya kulevya, kuna wanao dai kwamba Kennedy kupenda penda wanawake kulimfanya awe na uadui na kundi la mafia wakimgombania mrembo Marilyn Monroe, wengine wanasema kwa kuwa Kennedy alijaribu mara nyingi kumuua Fidel Castrol ilifika wakati Fidel akachoshwa na upuuzi huo akahamua kushirikiana na KGB wakawakodi ma marksmen majasusi ili wamumalize Kennedy, wapo wanao sema makamu wa Raisi wa Kennedy Mr. L.Johnson ndiye muhusika mkuu wa kifo cha Rais Kennedy.

Binafsi sina shaka kwamba Makamu wa Raisi Mr. L.Johnson ndiye alisuka mipango ya kumuua Kennedy akishirikiana na matajiri wenye viwanda vya kuhunda silaha kweye jimbo lake la Texas aliko pigwa risasi Kennedy, matajiri hao walifikia decision ya kumuua kutokana na msimamo wake wa kutaka kisitisha vita huko Vietnam, wenye viwanda wakaona anataka kuwaharibia biashara ya kuhuza silaha afadhili wamuwahi mapema.

Mkewe Kennedy alikuja gundua mhusika mkuu wa mauuaji ya mumewe hakiwa bado yupo Dallas Texas, wanasema wakati mwili wa Kennedy unasafirishwa kwa ndege kutoka Texas kuja Washington DC, ndani ya ndege walikuwemo makamu wa Rais L.Johnson na mke wa Kennedy among others, wanasema mama huyo alipata ujasiri akasimama akamfuata Johnson alipo kuwa amekaa akamwambia bila ya kumungunya maneno kwamba ana uhakika ndiye anahusika na kifo cha mumewe, wanasema Johnson alinamisha kichwa chini hakujibu kitu!

Kazi ya kumuua Kennedy walipewa marksmen zaidi ya mmoja ambao walikuwa hawajuani, walifanya hivyo kuhakikisha kwamba si rahisi wote waka miss target, kati yao mmoja wao alikuwa bingwa sana wa kulenga shabaha, aliwahi kuhusika kwenye operation kama hizo miaka ya nyuma akitumiwa na CIA alipo kuwa jeshini, ndio alikuja kukili juzi juzi hapa kabla hajafa kwamba ndiye alifanikiwa kumpiga risasi ya kichwani Kennedy akitumia risasi maalum (dum dum bullet) ambazo ulipuka zikigusa mfupa au kitu kigumu, cha ajabu mlenga shabaha huyo alijificha nyuma ya overgrown shrubs karibu na jengo la glassknoll huku akilindwa na Polisi (FBI), baada ya kumpiga risasi Kennedy akafungia silaha yake kwenye briefcase na kuondoka zake bila ya kubughudhiwa na mtu!!

Madai ya kusema muuaji alikuwa ni Mr.Oswald si kweli huyo alikuwa ni chambo tu, hata silaha walio dai walimkuta nayo kwenye jengo la ghorofa sita ilikuwa planted tu na FBI ndio maana silaha ilipo pelekwa kwenye mahabara kwa uchunguzi ikagundulika haikuwahi kutumika siku za karibuni, hata firing mechanism zake zilikuwa na walaki mkubwa, hivyo ni dhahili FBI ilikuwa imepania kumbambikizia kesi Oswald.
Mkuu unaweza nipa historical background kidogo ya mafia group?lianzishwa wap na Nani alilianzishaaa..?
 
Unamtahadharisha Magu au unamtisha?
Ukweli ni kuwa ukiwa na sera za kujitegemea kama nchi hutaki misaada you will be eliminated from power kwa kuwa assasinated au kwa vuguvugu la mabadiriko hata ikiwa ni Coup itafanyika Mfano wa karibu ni Muammar Ghadafi

Augustino Pinochett mwaka 1973 CIA walimtumia kumuondoa Aliyekuwa Rais wa Chille wakati ule kisa alikuwa Socialist anabania Rasilimali

Kama unakijua kisa cha "BAY OF PIGS'' Rais wa wakati Huo Marekani John F Kennedy ali organise wa cuba ambao wako USA miaka ya 1959-1960 waivamie Cuba wakati huo ndo Fidel Castro na Che guevara wamemtoa Frujensio Batista ambaye alikuwa "KIBARAKA WA MAREKANI"

Hiyo vita ya Bay of Pigs hao Waasi walichapwa na USA hawakutokea kutoa Msaada hata wa Airstrikes baada ya Congress kushinikiza lakini Rais John F Kennedy alikataa

na hilo Kosa wanamlaumu mpaka lao kwanini Alipopata sababu za Kuipiga Cuba Alisita sita
 
Siamini hayo...conspirancy theories tu...mara Tupac,BIG,Jimmy Hendrix,Bob marley,Malcom x<Martin Luther jr n.k wote wameuwawa na CIA.Baadhi inawezekana.Kwa Bob nakataa..uvutaji ule wa bangi wa bob was not very healthy...
 
Baada ya kupata maelezo hayo sasa nimekupata mkuu. Ila ni hivi huyo aliyefia nchini Ujerumani ni Joseph Hill ambaye alikuwa ni mwimbaji kiongozi katika kundi liitwalo Culture. Na nyimbo ulizotaja ni za Culture kama kundi.

Pengine kutokana na Joseph Hill kuimba nyimbo nyingi katika kundi hilo ndiyo kukafanya watu kudhani kwamba jina Culture ni la mtu mmoja kama solo artist wakati sivyo. Hivyo kundi la Culture bado lipo na mmoja wa wanamuziki walio katika kundi hilo hadi sasa ni mtoto wa marehemu Joseph Hill aitwae Kenyatta Hill.
mkuu nadhan sikuelewi! nina DVD zisizopungua tano za Culture as a solo artist na anaimba mwenyewe mwanzo mwisho....au "solo artist" inakuwaje?...maana concert zake zoote kaimba mwenyeweeeee mwenyewee! asante kwa taarifa acha nifuatilie zaid yawezekana sijuiii!..ngekuwa najua kuweka picha ya culture ningeiweka hapa!..asante lkn...mie mgonjwa wa reggae
 
Siamini hayo...conspirancy theories tu...mara Tupac,BIG,Jimmy Hendrix,Bob marley,Malcom x<Martin Luther jr n.k wote wameuwawa na CIA.Baadhi inawezekana.Kwa Bob nakataa..uvutaji ule wa bangi wa bob was not very healthy...
kwa bob kataa tu..maana humjui bob marley ila kidogo tunaojitahidi kufuatilia story zake nyimbo zake na maisha yake tunaelewa mambo haya na yapo wazi mkuu!...Ukitaka kufa kiurahisi na kwa mateso mazito kuwa mwanaharakati wa kutetea watu weusi huku duniani! Nirahisi sana jaribu uone
 
Back
Top Bottom