CIA walimuua Bob Marley?

CIA walimuua Bob Marley?

Nilisikia habari kuwa Bob Marley alikua mpenzi wa taifa la Israel, na ktk nyimbo zake utasikia akitaja holy mount zion, Jerusalem etc, nikahisi huenda hii ndio sababu waislamu wengi kiukweli huwa Hawana mshawasha sana na Bob Marley, maana ulimwengu wa kiislam upo nyuma ya wa Palestina ktk mgogoro wa mashariki ya kati, hivyo yeyote anaeunga mkono Israel anakua kinyume na waislamu
Sina hakika na maneno haya sana
Bob nyimbo zake nyingi ni haki kwa wote na ni muimbaji aliekubalika kwa watu wapenda haki.

Wimbo wa Bob- Zimbabwe ni marufuku kwa Mugabe na Iron Lion Zion huwezi kuusikia nchi za kiarabu lakini album zote zipo mpaka picha zake unaziona kwenye maduka mengi tu na sio marufuku, wanaopinga hawajui maana na maudhui yake alipokuwa anafikisha ujumbe
 
Alifia kwao Gayana, walitega bom kwenye gari yake likamlipukia na kumuua, Serikali ilidai kwamba yeye ndiye alibeba bom akiwa na lengo la kwenda kulipua gereza kuwachia wafungwa kwa bahati mbaya likamlipukia yeye, huo ulikuwa ni uongo, mtu msomi na mweledi kama Rodney hasingeweza kufanya kitendo cha kijinga kama hicho.

Ukweli wa mambo ni kwamba mpango wa kumumaliza Rodney ulisukwa na CIA. Marekani ilikuwa na wasi wasi na Rodney kutokana na misimamo yake, kumbuka miaka hiyo vita vya baridi kati ya Urusi na nchi za magharibi vilikuwa vimepamba moto, Marekani walifikiri kama jamaa anaweza kuwania kiti cha Urais na akishinda basi nchi yake inaweza kuwakaribisha Warusi/Wacuba wakaweka vituo vyao vya kudumu vya kijeshi, wakaingilia influence ya Wamarekani kwenye backyard yake! Marekani uzichukulia baadhi ya nchi ya Carribean, Amerika kusini kama ni backyard yake.

Kumbuka hata Maurice Bishop aliuwawa kutokana na sababu hizo hizo na nchi yake ya Grenada kuvamiwa na kikosi cha Navy ya Marekani kwa amri ya Reagan.
Asante mkuu umetoa maelezoo mazuri yaliyinyooka..nikitaka kupitia hiyoo short history ya Walter Rodney ntaipata kweny kitabu kipi kwa mfano mkuu..??
 
Mh sawa bwana,nasisi tis wako vizuri,ila kuna mwenye hadith ya jinsi hugo chaves alivyo tegewa mpaka ku uawa na hao jamaa??
Hugo Chaves Alibana Sana Venezuela Kiasi Cha Mataifa Makubwa Kushindwa Kuiba Nchini Kwake.
Alikuwa Anapenda Sana Wananchi Wa Chini Na Aliisaidia Sana Venezuela Kupiga Hatua.
 
Kama ni hivyo wasingekuwa wanakimbilia marekani na ulaya.

Kwanza jamaa alikuwa anaimba kwa mafumbo sana ili kuficha ya maneno ya kishetani yaliyopo karika wimbo kwa hiyo kwa haraka haraka huwezi pata maana halisi ya ujumbe uliopo kwenye wimbo.
Ila baada ya hii mihadhara nazani watu wanapata picha halisi.
Yan mie huwa nasema hivi km hujui kitu nyamaza kimya tu!...maana hakuna unachoelewa mkuu!.sikiliza nyimbo zote za bob marley kwa umakini,km huelewi bora uulize!..hyo nyimbo aliyoimba kuhusu shetan ni ipii? aiseee acha hizo mkuu km hujui bora usichangie tu! maana hakuna kitu
 
Waislamu wa wapi hao maana kuna washikaji zangu wengi Waislamu ni wapenzi wa Bob Marley.
Sema now days kuna mashehk wanaendesha mihadhara kuhusu hawa jamaa sasa kupitia mashehk ndo wamegundua maneno mengi katika nyimbo za Bob ni za kumsifu shetani.
Ila watu hawajui tu na hili haliko kwa Bob tu lipo karibu kwa wanamuziki wote kwa sa babu karibia wanamuziki wote wapo huko.
Napata ugumu wa kuelewa maana ya michango yako kabisa!...eti nyimbo zinasifu shetani hyo kitu haipo mkuu ndo maana soma vitabu vinavyomuelezea bob marley ...listen to roots reggae utapata ukweli!...nyimbo nyingi za ukombozi huimbwa kwa hisia kali kumaanisha kinachoimbwa!...acha kuandika usichojua! sasa hivi wakongwe wa reggae wanatembea na maiki zao kabisaa hawataki kufa kifo km cha Culture na wengineo!...
 
Wakati mwingine, vitu vingine ni vigumu kumeza, japo ndo ukweli wenyewe.vitu vingi tunavyoviona na kuviamini viko kinyume na sio wote wanaoweza kutambua hilo, kwa hiyo si shangai sana.
 
Napata ugumu wa kuelewa maana ya michango yako kabisa!...eti nyimbo zinasifu shetani hyo kitu haipo mkuu ndo maana soma vitabu vinavyomuelezea bob marley ...listen to roots reggae utapata ukweli!...nyimbo nyingi za ukombozi huimbwa kwa hisia kali kumaanisha kinachoimbwa!...acha kuandika usichojua! sasa hivi wakongwe wa reggae wanatembea na maiki zao kabisaa hawataki kufa kifo km cha Culture na wengineo!...
Mkuu hapo mwisho umeniacha kidogo. Huyo Culture uliyemtaja ni solo artist au? Unaweza kutaja moja ya nyimbo zake? Kama ni Culture kama kundi la muziki wa reggae basi hilo bado halijafa.
 
mkuu huyu Culture ni solo artist ambaye alifia stejini nchini ujerumani na hao hao jamaa walihusika ktk kifo chake! ananyimbo nyingi sana baadhi ni Jah alone a christian,money girl,one stone,pay day.
 
Baada ya kupata maelezo hayo sasa nimekupata mkuu. Ila ni hivi huyo aliyefia nchini Ujerumani ni Joseph Hill ambaye alikuwa ni mwimbaji kiongozi katika kundi liitwalo Culture. Na nyimbo ulizotaja ni za Culture kama kundi.

Pengine kutokana na Joseph Hill kuimba nyimbo nyingi katika kundi hilo ndiyo kukafanya watu kudhani kwamba jina Culture ni la mtu mmoja kama solo artist wakati sivyo. Hivyo kundi la Culture bado lipo na mmoja wa wanamuziki walio katika kundi hilo hadi sasa ni mtoto wa marehemu Joseph Hill aitwae Kenyatta Hill.
 
Tatizo mkuu ni kwamba kuna conspiracy theories nyingi sana juu ya kifo cha Bruce Lee ,kiasi cha kwamba kujua ukweli wake ni tabu ,ndio maana wengi wanaishia kuhisi ni CIA lakini hakuna wa ku prove beyond reasonable doubt kwamba CIA wamehusika na kifo hicho

Kifo cha Bruce kilichangiwa na mambo mengi yote hayakuwa na uhusiano wowote na masuala ya CIA, kitu cha kwanza ni utumiaji wake mkubwa wa cannabis aliwahi kuonywa na Daktari wake alipo patwa na ugonjwa wa kifafa ghafla akiwa kwenye studio yake aki-dub film, alikaa hosptalini kwa muda baadae akaruhusiwa na kupewa mashariti ya kumeza dawa kila siku ili kudhibiti kifafa kisijitokeze tena, akaonywa kwa mara nyingine kwamba asiwe anatumia/vitu bhangi na dawa za kulevya haionyeshi kama alizingatia mashariti ya madaktari wake!!

Kitu kingine Bruce alikuwa anafanya mazoezi ya viuongo ambayo mengine yalikuwa hatarishi mfano: kutumia umeme kustimulate misuli, wakati fulani aliwahi kuhumiza mgongo wake akiwa mazoezini nadhani alikuwa yuko kwenye zoezi la kunyanyua vyuma kama nakumbuka vizuri, injuries alizo sustain madaktari wake walifikiri hataweza tena kusimama vizuri au kwendelea na michezo/mashindano ya Kung-Fung lakini wapi bwana Bruce bounced back, lakini akawa anaendelea kutumia dawa za kupunguza maumivu ya mgongo - tukiweka maanani idadi ya madawa aliyokuwa anameza kila siku - namely: Dawa za kudhiti kifafa, dawa za kupunguza maumivu ya mgongo na uvutaji/ulaji wa aina fulani ya bhangi yote hayo anayameza kila siku - mtu ungetegemea long term abuse ya nadawa hayo yangeleta nadhala gani eventually.

Kitu kingine Bruce alikuwa anapenda wanawake sana, kifo chake kilitokea akiwa nyumba ndogo, sasa tabia hii ni rahisi sana washindani wako kibiashala kuwatumia wanawake kukudhulu, Bruce alijua kwamba Studio yake na Raymond iliyokuwa inajulikana kama Golden Harvest ilikuwa na ushindani mkubwa na Studio za manyangumi wa Hong Hong wa familia ya Run Run Shaw (sijui kama jina nimepepatia) familia hiyo ilikuwa haipendi jinsi Studio za Raymond Chow na Bruce Lee zilivyo kuwa zimekuja juu kibiashara - wote tunajua Wachina walivyo vicious, wanaweza kufanya lolote kuondoa ushindani.

Now a million dollar question - Vitu gani vilichangia kifo cha ghafla Cha Bruce Lee?

* Binafsi nafikiri sababu ya kwanza inaweza kutokana na utumiaji wake wa madawa mengi kwa wakati mmoja, actually wanasena dawa aliyo pewa (Super Asprin) na mpenzi wake kuzuia maumivu ya kichwa ndio ilichangia kufanya ubongo wake uvimbe na kumsababishia kifo.

* Sababu ya pili, mpenzi wake anaweza kuwa ametumiwa na Kampuni ya Studio za Run Run Shaw kumuua Bruce baada ya kulipwa hela ndefu - kwa nini nasema hivyo: alipo hojiwa na Polisi baada ya kifo cha ghafla cha Bruce, mwanamke huyo majibu yake yalikuwa yenye utata sana, walimuhoji kwa nini Bruce alifia nyumbani kwa binti huyo kwenye kitanda chake - akajibu kwamba Bruce alipitia nyumbani kwangu akanambia anaunwa kichwa nikampatia Super Asprin ameze baadae nikampeleka chumba changu cha kulala nikampumzisha, baada ya hapo akwenda kumwangalia hali yake inaedeleaje mpaka masaa nane yakapita - alidai baadae kabisa alikwenda chumbani kwake akajaribu kumwamusha Bruce bila mafanikio, badala ya kuwasaliana ni mke wa Bruce alawasiliana na Raymond Chow ambae alikuwa ni Business partner wa Bruce, binti huyo hakutaka mkewe wa Bruce afahanu ukweli wa kile kilicho jiri - ndio maana alikimbiza mahiti Hospitalini!! Je hili lilikuwa jambo la kawaida kweli - I don't think so?
 
Wakuu heshima kwenu.

Kwa muda wa miaka kama 20 hivi nimekua mshabiki na mfuatiliaji sana wa muziki wa reggae na waimbaji wake. Nimesoma taarifa mbalimbali juu ya waimbaji wa muziki huu hasa Robert Nesta Marley (Bob Marley) lakini leo nimekutana na taarifa iliyo nishtua kidogo juu ya kifo cha muasisi huyo.

Sote tunajua kwamba bob alifariki kwa kansa iliyo sababishwa na uvutaji wake wa bangi uliopindukia , lakini kwa mujibu wa jarida la high times, bangi haikusababisha kansa iliyomuua bob.

Jarida la ripoti kwamba kansa hiyo ilipandikizwa na aliejifanya muandishi wa habari kwa kumpelekea zawadi ya viatu vilivyo kuwa na waya ndani uliowekewa vimelea vya cancer, waya huo mlimchoma bob kidoleni alipokua akijaribisha zawadi hiyo aliyopewa, baadae mwandishi huyo alipochunguzwa aligundulika ana uhusiano na CIA waliofanya jaribio la kumuua bob (ambush in the night)

Bob kwa kujua alisha nasa kwenye mtego wa maadui wake waliokua wanamuwinda usiku na mchana aliamua ku -condense plan zake za muzik ili kufit ndani ya pindi kifupi cha uhai kilichabakia maana alijua hana muda mrefu wa kuishi, jimmy cliff msanii mwenzake anasema, bob alikua anakunywa chai na kula lunch kwapamoja asubuhi na kwenda mazoezi ya muziki siku nzima na hata usiku wa manane, ili kurekodi kila alichotaka kusema kwa njia ya nyimbo, hivyo jimmy cliff anaamini kwa kipindi hicho kifupi bob aliimba na kurekodi kila ujumbe aliotaka kufundisha kabla hajafa.

Pia moja ya madaktari waliokua wanamtibu bob alishangazwa na style yake ya uimbaji na ushikaji wake wa guiter (kama SMG) katika concert yake ya mwisho, hasa jinsi bob alivoimba wimbo wa REDEMPTION SONG,

"....these songs of freedom is all I ever had"

Daktari huyo alihisi maumivu makali (kutokana na kansa) aliyokua nayo bob kwa jinsi alivyokua akishika paji la uso mara kwa mara, baadae daktari huyo alikiri kwamba bob aliandaa concert hiyo maalum kwaajiri ya kuwaaga rasmi washabiki wake na kusisitiza mambo ya msingi ya kisiasa, kwani afya yake haikuruhusu kabisa.

Bob na timu yake walipokua kwenye mechi ya kirafiki kule ufaransa sote twajua aliumia kidoleni na kansa ikaanzia hapo, high times la endelea kuripoti kwamba kidole kile alicho umia ndicho kilicho chomwa na waya uliokua kwenye viatu, na mbaya zaidi akiwa uwanjani kuna daktari asiyefahamika alikuja kumchoma bob sindano (isiyofahamika) kwenye hicho kidole kama tiba. Lakini sindano hiyo inaripowa kuwa ilikua na lengo la kueneza viini vya kansa mwilini mwa bob. Kwa kweli nashindwa kuamini kama kweli CIA walimuua bob makusudi, sijui wadau mnalionaje hili.
Siku zake zilikuwa zimefika,hayo mambo ya kufirika ni kwa wale wanaoamini hivyo,kwa kipi CIA wamtegee Bob ,alikuwa na athari gani kwa Marekani ,sijawahikusikia kuwa virusi vya kansa vinawekwa kwenye kiatu yaani vikaishi kwenye ukavu.
 
Majuzi tu miaka ya karibuni Louis Farakhan kiongozi wa sasa wa Nation of Islam (NI), alikiri mbele ya Binti wa Malcolm X kuwa maneno yake yalichochea chuki baina ya wafuasi wa NI dhidi ya Malcolm X ingawa yeye binafsi hakuhusika na mauaji hayo (You Tube Luiis Farakhan na Binti wa Malcolm X). Lakini tunajua miaka hiyo dola ya Marekani ilikuwa ikipambambana na vuguvugu la Waamerika Weusi la kudai haki sawa za kiraia. Miaka hiyo Simba/Chui Weusi (Black Panther Party for Self Defence) ya akina Huey P Newton, Bobby Seale na kina Eldridge Cleaver ilikuwa kazini sana tu katika mitaa ya Oakland na kuwa tishio kwa mfumo mzima wa ukandamizaji wa haki za watu weusi Marekani. katika mazingira hayo Malcolm X aliuawa, George Jackson pia akifia gerezani Soledad, Angela Davis akatiwa ndani na Martin Luther King akapigwa risasi. Unaweza kusema yalikuwa mauaji ya kisiasa. Unajua adui wenu atatumia matatizo yenu kuwamaliza yeye akikaa mbali. Kifupi lilikuwepo shinikizo kubwa sana la kisiasa dhidi ya ustawi wa dola ya Marekani kwa ndani muongo huo. Lilikuwepo tatizo la vita vya Vietnam kupingwa kwa nguvu nchini, Muhammad Ali (Cassius Clay) akigoma kwenda kupigana huko, na kibaya zaidi Tommy Smith na mwanariadha mwenzake Mmarekani mweusi pia, wakipiga saluti ya "Nguvu ya mtu Mweusi" yaani Black Power, baada ya kupokea medali zao katika michezo ya Olimpiki huko Mexico mwaka 1968. Hilo liitokea huku bendera ya Marekani ikipandishwa na ulimwengu mzima ukiona. Jambo hilo lilileta hasira kuu kwa dola ya nchini mwao. Sasa katika mazingira ya jinsi hiyo Malcolm X (ama Abdul-Malik Al- Shabbaz) aliuawa na wengi wanaamini alikufa kwa sababu ya kupishana na wenziwe ndani ya jumuia ya NI. Yeye alipenda NI ijielekeze zaidi kwenye mrengo wa kidini wa Uislamu wa Mashariki ya kati (hususan Uislamu wa Sunni) baada ya kwenda hija huko miaka michache kabla hajauliwa, ambapo viongozi wengine walitaka wadumishe desturi ya mwasisi wa imani yao Elijah Muhammad.
Naomba niulize hivi mbona wanaharakati wengi wa magharibi huwa ni waislam na hata kama walikua wakristo then huwa wana change kuwa waislam
 
Kifo cha Bruce kilichangiwa na mambo mengi yote hayakuwa na uhusiano wowote na masuala ya CIA, kitu cha kwanza ni utumiaji wake mkubwa wa cannabis aliwahi kuonywa na Daktari wake alipo patwa na ugonjwa wa kifafa ghafla akiwa kwenye studio yake aki-dub film, alikaa hosptalini kwa muda baadae akaruhusiwa na kupewa mashariti ya kumeza dawa kila siku ili kudhibiti kifafa kisijitokeze tena, akaonywa kwa mara nyingine kwamba asiwe anatumia/vitu bhangi na dawa za kulevya haionyeshi kama alizingatia mashariti ya madaktari wake!!

Kitu kingine Bruce alikuwa anafanya mazoezi ya viuongo ambayo mengine yalikuwa hatarishi mfano: kutumia umeme kustimulate misuli, wakati fulani aliwahi kuhumiza mgongo wake akiwa mazoezini nadhani alikuwa yuko kwenye zoezi la kunyanyua vyuma kama nakumbuka vizuri, injuries alizo sustain madaktari wake walifikiri hataweza tena kusimama vizuri au kwendelea na michezo/mashindano ya Kung-Fung lakini wapi bwana Bruce bounced back, lakini akawa anaendelea kutumia dawa za kupunguza maumivu ya mgongo - tukiweka maanani idadi ya madawa aliyokuwa anameza kila siku - namely: Dawa za kudhiti kifafa, dawa za kupunguza maumivu ya mgongo na uvutaji/ulaji wa aina fulani ya bhangi yote hayo anayameza kila siku - mtu ungetegemea long term abuse ya nadawa hayo yangeleta nadhala gani eventually.

Kitu kingine Bruce alikuwa anapenda wanawake sana, kifo chake kilitokea akiwa nyumba ndogo, sasa tabia hii ni rahisi sana washindani wako kibiashala kuwatumia wanawake kukudhulu, Bruce alijua kwamba Studio yake na Raymond iliyokuwa inajulikana kama Golden Harvest ilikuwa na ushindani mkubwa na Studio za manyangumi wa Hong Hong wa familia ya Run Run Shaw (sijui kama jina nimepepatia) familia hiyo ilikuwa haipendi jinsi Studio za Raymond Chow na Bruce Lee zilivyo kuwa zimekuja juu kibiashara - wote tunajua Wachina walivyo vicious, wanaweza kufanya lolote kuondoa ushindani.

Now a million dollar question - Vitu gani vilichangia kifo cha ghafla Cha Bruce Lee?

* Binafsi nafikiri sababu ya kwanza inaweza kutokana na utumiaji wake wa madawa mengi kwa wakati mmoja, actually wanasena dawa aliyo pewa (Super Asprin) na mpenzi wake kuzuia maumivu ya kichwa ndio ilichangia kufanya ubongo wake uvimbe na kumsababishia kifo.

* Sababu ya pili, mpenzi wake anaweza kuwa ametumiwa na Kampuni ya Studio za Run Run Shaw kumuua Bruce baada ya kulipwa hela ndefu - kwa nini nasema hivyo: alipo hojiwa na Polisi baada ya kifo cha ghafla cha Bruce, mwanamke huyo majibu yake yalikuwa yenye utata sana, walimuhoji kwa nini Bruce alifia nyumbani kwa binti huyo kwenye kitanda chake - akajibu kwamba Bruce alipitia nyumbani kwangu akanambia anaunwa kichwa nikampatia Super Asprin ameze baadae nikampeleka chumba changu cha kulala nikampumzisha, baada ya hapo akwenda kumwangalia hali yake inaedeleaje mpaka masaa nane yakapita - alidai baadae kabisa alikwenda chumbani kwake akajaribu kumwamusha Bruce bila mafanikio, badala ya kuwasaliana ni mke wa Bruce alawasiliana na Raymond Chow ambae alikuwa ni Business partner wa Bruce, binti huyo hakutaka mkewe wa Bruce afahanu ukweli wa kile kilicho jiri - ndio maana alikimbiza mahiti Hospitalini!! Je hili lilikuwa jambo la kawaida kweli - I don't think so?
Bwana @Bukyanagand kama story uliyoeleza ni sahihi, hata huyo mwanamke alikua sahihi. Kwa hali ya kawaida akijifaham kuwa yeye anaiba penzi la mtu asingeweza kumtaarifu mwenye mali kuwa mumewe kafia kwake. Ni bora alivyojisalimisha police.
 
Siku zake zilikuwa zimefika,hayo mambo ya kufirika ni kwa wale wanaoamini hivyo,kwa kipi CIA wamtegee Bob ,alikuwa na athari gani kwa Marekani ,sijawahikusikia kuwa virusi vya kansa vinawekwa kwenye kiatu yaani vikaishi kwenye ukavu.
.....hujawahi? Ndo usikie sasa
 
Wakuu heshima kwenu.

Kwa muda wa miaka kama 20 hivi nimekua mshabiki na mfuatiliaji sana wa muziki wa reggae na waimbaji wake. Nimesoma taarifa mbalimbali juu ya waimbaji wa muziki huu hasa Robert Nesta Marley (Bob Marley) lakini leo nimekutana na taarifa iliyo nishtua kidogo juu ya kifo cha muasisi huyo.

Sote tunajua kwamba bob alifariki kwa kansa iliyo sababishwa na uvutaji wake wa bangi uliopindukia , lakini kwa mujibu wa jarida la high times, bangi haikusababisha kansa iliyomuua bob.

Jarida la ripoti kwamba kansa hiyo ilipandikizwa na aliejifanya muandishi wa habari kwa kumpelekea zawadi ya viatu vilivyo kuwa na waya ndani uliowekewa vimelea vya cancer, waya huo mlimchoma bob kidoleni alipokua akijaribisha zawadi hiyo aliyopewa, baadae mwandishi huyo alipochunguzwa aligundulika ana uhusiano na CIA waliofanya jaribio la kumuua bob (ambush in the night)

Bob kwa kujua alisha nasa kwenye mtego wa maadui wake waliokua wanamuwinda usiku na mchana aliamua ku -condense plan zake za muzik ili kufit ndani ya pindi kifupi cha uhai kilichabakia maana alijua hana muda mrefu wa kuishi, jimmy cliff msanii mwenzake anasema, bob alikua anakunywa chai na kula lunch kwapamoja asubuhi na kwenda mazoezi ya muziki siku nzima na hata usiku wa manane, ili kurekodi kila alichotaka kusema kwa njia ya nyimbo, hivyo jimmy cliff anaamini kwa kipindi hicho kifupi bob aliimba na kurekodi kila ujumbe aliotaka kufundisha kabla hajafa.

Pia moja ya madaktari waliokua wanamtibu bob alishangazwa na style yake ya uimbaji na ushikaji wake wa guiter (kama SMG) katika concert yake ya mwisho, hasa jinsi bob alivoimba wimbo wa REDEMPTION SONG,

"....these songs of freedom is all I ever had"

Daktari huyo alihisi maumivu makali (kutokana na kansa) aliyokua nayo bob kwa jinsi alivyokua akishika paji la uso mara kwa mara, baadae daktari huyo alikiri kwamba bob aliandaa concert hiyo maalum kwaajiri ya kuwaaga rasmi washabiki wake na kusisitiza mambo ya msingi ya kisiasa, kwani afya yake haikuruhusu kabisa.

Bob na timu yake walipokua kwenye mechi ya kirafiki kule ufaransa sote twajua aliumia kidoleni na kansa ikaanzia hapo, high times la endelea kuripoti kwamba kidole kile alicho umia ndicho kilicho chomwa na waya uliokua kwenye viatu, na mbaya zaidi akiwa uwanjani kuna daktari asiyefahamika alikuja kumchoma bob sindano (isiyofahamika) kwenye hicho kidole kama tiba. Lakini sindano hiyo inaripowa kuwa ilikua na lengo la kueneza viini vya kansa mwilini mwa bob. Kwa kweli nashindwa kuamini kama kweli CIA walimuua bob makusudi, sijui wadau mnalionaje hili.
Walimuua ili iweje kuna nn aliwauzi?
 
Back
Top Bottom