Bob Marley alikufa kwa ngoma
Bob MARLEY murdered by CIA, Nazis & Illuminati NEW
Frank OlsonWafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Patrick Rwoyengeza UDSM.Wafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
tupacWafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
hahahah jamaniiii!! humu kuna vibwanga...Wamejikomoa wenyewe,
Tunawashukuru kwa ku,uuwa Bob na kutuachia bangi zetu.Mbaya zaidi wangemuuwa Bob Marley na Wakamuuwa Bangi hapo wangenikera saaan
Msiovuta Bangi mnapata tabu sana,Sie wavuta Bangi tunawasiliana na Bob Marley na kuongea nae kama kawaida tu,na tunagonga tano.feelings za Ganja acha kabisa,yule jamaa mzimu wake upo pale.
Sasa ukitaka kuwasiliana na Bob na kupata ushauri wowote kutoka kwake,naomba tafuta Ganja kisha piga puri kama nne hivi,utaibukia Jamaica,Masharti yake tu mtu aiskustue wala kukusemesha wakati wa feelings,mwambie stim zinalipiwa.
Sasa kama wanaweza wauwe na Bangi.
ehhh,sasa ndio nimeandika nini !!!
Bob kwenye muziki wake alikuwa anawafumbua macho watu wengi wa dunia ya tatu kiasi kwamba baadhi walishaanza kustuka. Nyimbo zake nyingi nilikuwa zinapinga ubeberu, ubepari na uonevu. Kumbuka miaka ya 80 ndiyo mabeberu walikuwa wanajaribu kusambaza itikadi zao. Kaa chini usome vizuri na kwa umakini wimbo wa Natural Mystics (ni kama alijua wanamuwinda. Yeye alijua wazungu hawapendi anavyosema ukweli) japo nyingi tu nilikuwa zina create awareness. Nyimbo nyingi zilikuwa zinawasema vibaya mabeberialikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.