Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel: "Tutajenga timu ambayo hakuna atakayetaka kucheza dhidi yake"
Haya ni maono na sasa naona yanaelekea kutimia
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wote hawa mmepigwa?
 
Cucurella mmepigwa mazeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et 55 million + ....

Huyo ni average LB ambaye price yake haitakiwi kuzidi £million 30 hata Brighton wamemchukua kutoka getafe chini ya £20 million
Uliona mbali ,hapa za uso walipigwa
 
Koloboi beki mzee kashachoka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msisahau Kipindi Cha Mashindano Makubwa Ya Kimataifa Ndoo Kipindi Ambcho Timu Nying Zinafanya Sajili Za Kitapeli Kama ChelKenge[emoji23]
 
Make Kwanza nicheke
 
Wapiga ramli

Sijui uchawi mtaacha lini
A honest opinion.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualified
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walikutukana walikukebehi ,Sasa hivi maneno yako yanatimia
 
Huo ni msiba, hawatakuelewa sasa hivi, ila wakikumbwa na majeruhi watakumbuka maandishi haya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…