Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yani ile misifa ya Sarriball na Mistats ya Joginho tuliyokuwa tukisifiwa kila Siku sijui hata yameishia wapi!!!! [emoji23] [emoji23][emoji23]

Tukiamua kufukua makaburi ya mwezi July mpaka September hapatatosha hapa... 😀😀

Au tuanze kufukua Makaburi? Munasemaje wadau?
Kuna watu humu waliweka hela kwamba chelsea anamaliza juu ya liverpool .

Sent using simu mbovu
 
Hazard mara zote alikuwa akililia formation ya 4-3-3 ndio maana hakuwa akipatana na Mou pamoja na Conte ambao mearly wao ni wa kupaki mabasi. Nafikiri kwa Sarriball formation atafunga 30+ goals

Sent using simu mbovu
 
More to Come........Mengi yanakuja......Rudi nyumbani kijana Kumenoga, sasa hivi ni pilau nyama kila uchao.......



skysports-maurizio-sarri-chelsea_4424547.jpg



Pia cheki huyu jamaa, si mimi ila ni takwimu zinaongea......

View attachment 869920


Soma hapa chini majibu ya Sarri alipohojiwa na Mwandishi wetu kuhusu Jorginho......

Jorginho ni zaidi ya mpikaji pale dimbani, anatoa amri kwa wachezaji wenzake wacheze vipi, Ni Mwanaume wa shoka kwa Sarri, anafundisha namna ya uchezaji kwa mfumo mpya wa kushambulia kwa kasi wakiwa wanamiliki mpira kwa kiasi kikubwa hasa wakishavuka mstari wa kati (Pressing....) Huu ni mfumo mpya na mtamu kabisa ukiringanisha na ule wa Conte pamoja na Jose ambao timu ilishinda ligi kwa kupaki basi, lakini huu ni tofauti kabisa.

Sarri anaendelea kusema kwamba " Ni kucheza mpira na si kukimbia na mtu - Jorginho analijua hilo zaidi ya mtu yeyote na ndiyo maana akienda ku-press mbele anajua kama wakipoteza mpira awe wapi kwa wakati gani ili kuwalinda mabeki wake 4, hilo sina wasiwasi nalo kabisa

More to Come..................This is Chelsea...... Raha tupu kila weekend......Rudi nyumbani kumenoga....
VP MKUU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom