Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Tena mkuu sisi tutaongoza kila kitu, kuanzia ball possession mpaka magoli.
Wewe hutakiwi kufikisha masaa 24 ukiwa kileleni mwa ligi.
Mpaka desemba unatakiwa uwe nafasi ya nne uko au ya tano..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona imekua veisi vasa Mkuu?