Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Salah mwenyewe kabaki jina tu, labda msimu ujao, ila huu kwake naona kama imeisha.
Hapana mkuu Salah atabiriki ..hata ukiachana na Salah bado kibarua cha kuifunga Liverpool kwa sasa ni kizito mnoo ..sioni kama tutaambulia hata draw aise ..mbaya zaid tuko mjini Liverpool tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alonso kaiuza timu tangu December, Yaani Kocha hata hamshtukii jamaa mpaka aizamishe timu
Sasa kocha anamweka bench Emerson wakati dgo anajua vizuri tu ..ndo maana nikasema hii chelsea yetu kwa sasa inatakiwa ivunjwe yani kuna vichwa kama saba ivi viuzwe ..usajili wa maana ungehitajika ila ndo hivo tumefungiwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alonso kuypwaya kosa la nani, Kocha ana control mfumo na wachezaji, yeye anamlea kwa hiyo kocha naye ni bomu. Hii timu kama ilivyo mpe Pochettino halafu uone kama haitakuwa timu ya ushindi tu. Sarri anatabirika na timu za EPL zimeshamjulia na yeye hana mbadala, staili ile ile mpaka afe maji
Kwa falsafa za Chelsea Pochettino anaeza akafeli tu ...kwa sasa mtu kama Guus Hiddink au Anchellot wa Napoli ndo wangeweza kuiweka sawa Chelsea ..mfumo wa Sarri uneshindwa kabisa kuwa adopted kwa wachezaji ..mfano huu 4-3-3 Alonso anapwaya sana tofauti na mfumo ule wa 3-4-3 ambapo ulimfavor sana ...dah sijui kwanini bodi ili fanya maamuzi ya kumpa timu Sarri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kocha anamweka bench Emerson wakati dgo anajua vizuri tu ..ndo maana nikasema hii chelsea yetu kwa sasa inatakiwa ivunjwe yani kuna vichwa kama saba ivi viuzwe ..usajili wa maana ungehitajika ila ndo hivo tumefungiwa..

Sent using Jamii Forums mobile app

Unanikumbusha ile kauli ya Mliverpool Halisi kuwa "Wewe hujui soccer management kuliko Sarri" Sarri anajua zaidi kuliko nyinyi nyote humu
 
Too much paparazi in here. Daah kuna watu huwa hawana raha tukifanya vizuri tukifungwa sasa ndio wanajitokeza kuonyesha ukweli wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii mbona sio kwa Chelsea tu kiongozi! Timu yoyte inaukalia lazima watu waje waeke kambi.
Hata sisi, Arsenal na Man United tunapofungwa watu huja wakahamia na kufunga Maturubali.
Kwahiyo usiizungumze Chelsea kama inakitu special kuliko timu nyengine
 
Sasa niweke post ya nin sikumbuki ilipo halafu najiuliza had sasa uyo Ole umjampa mkataba wakati kawatoa nafasi sjui ya tisa/kumi uko hadi sasa mupo nafasi ya tano kwa muda..

Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwa kwako Mkuu O'chuga Oc hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa unasifia team kabla mechi na hata ikifungwa hakuna kujificha au kujipiga ban hadi pinzani ifugwe au yako ishinde Tena..... Ulikuwa utupa wakati mgumu Sana ndugu zako tunawaza labdo umekubwa na mabaraa(astarghafulil ah)[emoji15]...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mbona sio kwa Chelsea tu kiongozi! Timu yoyte inaukalia lazima watu waje waeke kambi.
Hata sisi, Arsenal na Man United tunapofungwa watu huja wakahamia na kufunga Maturubali.
Kwahiyo usiizungumze Chelsea kama inakitu special kuliko timu nyengine
Teh.. Anyways it seems like everyone is intimidated by each teams potential that is why every time fans camp to celebrate teams failure, Like now.!!

Wish you all a good ceremony. Enjoy yourself man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea kuingia top 4 ilikuwa ni bwerere lakini sasa baada ya kipigo cha jana inabidi wafight tena fight hasa ambayo nina wasiwasi hasa kama Kocha ataendelea kurelay kwa huduma ya Alonso na pia asipompa muda wa kutosha vijana wadogo wenye pumzi kama akina Odoi na Christiansen
 
Too much paparazi in here. Daah kuna watu huwa hawana raha tukifanya vizuri tukifungwa sasa ndio wanajitokeza kuonyesha ukweli wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

You are one person that should not complain about having paparazzis when you lose, because you also do the paparazzi job once others lose.

Just learn to live with it, as how others do when you are troubling.
 
Hapana mkuu Salah atabiriki ..hata ukiachana na Salah bado kibarua cha kuifunga Liverpool kwa sasa ni kizito mnoo ..sioni kama tutaambulia hata draw aise ..mbaya zaid tuko mjini Liverpool tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu hatabiriki, Salaha hakushuka kiwango, mfumo na mabeki kumkamia, yuko kwenye rada lakini bado yeye ndie anasababisha Mane kupata fursa za kufunga aidha kwa assists au kwa mabeki kumpa attention kubwa Sala wanamsahau Mane na Firmino
 
Kwa falsafa za Chelsea Pochettino anaeza akafeli tu ...kwa sasa mtu kama Guus Hiddink au Anchellot wa Napoli ndo wangeweza kuiweka sawa Chelsea ..mfumo wa Sarri uneshindwa kabisa kuwa adopted kwa wachezaji ..mfano huu 4-3-3 Alonso anapwaya sana tofauti na mfumo ule wa 3-4-3 ambapo ulimfavor sana ...dah sijui kwanini bodi ili fanya maamuzi ya kumpa timu Sarri..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ollachuga Oc tangu lini Chelsea wakawa na falsafa??
Kaja MOU na falsafa yake akaondoka nayo, Kaja Ancelotti, Benitez, Di Matteo, Conte wote hata huyo Huddink wamekuja na kuondoka na falsafa zao. Ni timu chache duniani ikiwemo Barca ndizo zenye Falsafa kama timu. Hizi zingine zote ni bendera fuata upepo
 
Chelsea imeacha misingi yake iliyoiasisi

Chelsea inaelekea shimoni,Chelsea inarud ilipotoka

Mafanikio ya Chelsea mkubali mkatae yalijengwa kwa falsafa za mou, timu ikiyokuwa inakaba sana, na kupata matokeo,

Hata mou alipondoka, makocha waliokuja waliendeleza falsafa hizo hizo, ,hadi kocha was mwisho Antonio conte alipokuja mwanzo alifeli, ila alipojirudi na kuanza kutembea na soka la Chelsea la kukaba, akitumia mfumo ambao umekuwa maarufu na naupenda sana wa 3-4-3 au 3-4-2-1

Huku kina Alonso ,mosses wakifanya vzr, mlipomfukuza na kuleta huyu sarr anayekazana na total football,huku akileta wachezaj lain eneo la midfield, hapo ndipo anaiua Chelsea na kuirudisha Chelsea ile kabla ya 2004,

Chelsea inahitaji makocha wanaondena na falsafa alizoziasisi mou , kocha kama Diego Simeon , Conte , Nuno espirito Santo, na type kama hawa wanaolijua soka la kukaba na kupata matokeo,

Zaid ya hapo naiona Chelsea ikiporomoka ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara zote tumeshinda EPL tukiwa na mtu anayefunga magoli 20+ kwenye EPL pekee yake (Costa, Drogba). Je huyo mtu yupo tangu hao waondoke?
Jitahidi utumie akili yako kufikiria. Hakuna timu inabeba ubingwa ikiwa na forward butu. Barca wana Suares na Messi; Madrid walikuwa na Ronaldo; Man City wana Aguero na Sterling; Liverpool wana Mane na Salah. Kwa hiyo usijidanganye kwamba mabeki na midfield watacover makosa ya foward
Nikisemaga sarri na mtoto wake hawana mbinu wana niqote vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mtaa ukikung'ang'ania hakuachi hadi ligi iishe

Win 6th
Draw 6th
Lose 6th
Hazard is the beat player in the league 6th
Kante is the best DM in the league 6th
Sarri ball 6th
Sell Morata 6th
Sign Higuain 6th
Game in hand 6th
Play game in hand 6th
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_5040.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chelsea kuingia top 4 ilikuwa ni bwerere lakini sasa baada ya kipigo cha jana inabidi wafight tena fight hasa ambayo nina wasiwasi hasa kama Kocha ataendelea kurelay kwa huduma ya Alonso na pia asipompa muda wa kutosha vijana wadogo wenye pumzi kama akina Odoi na Christiansen

Naona ALONSO kageuka HENDERSON kwa Liverpool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom