Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Save hii hazard hawez chukua kiatu

Mkuu Usiwabishe Sasahivi Watakuvamia Kwa Maneno..
Subiri Kuanzia November Wakati Washona Nyavu Kina (Kane, Aguero, Salah Na Lukaku) Wakishakaa Kwenye Nafasi Zao ndiyo uje Uwaulize Mr. Mapenalty Kaishia Wapi?

Hawa Ni Wepesi Wa Kusahau Kwani Hata Kante alipobahatisha goli Kwenye Mechi Ya Kwanza Walimtangazia Kufunga Magoli Mengi nikawaambia Hana uwezo Huo basi Walikuwa Wakali hatimae Sasahivi Wameufyata.
 
Haha mkuu huyu trh 29
Anaugeni mkali sana
C kingne bal ni kichapo tu huyo hazard nawahakikishia hatotembea kwa amani
Wasave date

Y
N
W
A
 
Unapoongelea takwimu jaribu na kuweka dakika walizotumia uwanjani pia.

Hazard mechi 5 alizocheza.
15+29+90+90+90=?
Mechi ya kwanza aliingia dakika ya 75
Mechi ya pili amengia dakika ya 61.

Magoli aliyofunga 3 direct from play points 2 penalties

Mane mechi 5 alizocheza.
90+90+90+90+90=?

Magoli aliyofunga 4 all from play points.

Linganisha na hili pia.
Hazard Mapenati
Hana jipya hadi penati
 
Hahahaha dah mnapata tabu sana aise. Sarri akutie adabu ili uzidi kupata tabu zaidi.
Mkuu Usiwabishe Sasahivi Watakuvamia Kwa Maneno..
Subiri Kuanzia November Wakati Washona Nyavu Kina (Kane, Aguero, Salah Na Lukaku) Wakishakaa Kwenye Nafasi Zao ndiyo uje Uwaulize Mr. Mapenalty Kaishia Wapi?

Hawa Ni Wepesi Wa Kusahau Kwani Hata Kante alipobahatisha goli Kwenye Mechi Ya Kwanza Walimtangazia Kufunga Magoli Mengi nikawaambia Hana uwezo Huo basi Walikuwa Wakali hatimae Sasahivi Wameufyata.
 
Unajaribu kuficha udhaifu wako uku ukionyesha wazi wazi huwezi battle na Chelsea. Sasa unakimbilia kusema mpinzani wako ni man city na man united, unajisahaulisha kwa makusudi kabisa kwamba mpira hauitaji mazoea. Tatizo la nyie mishabiki ya liver na man u bado mna zile mentality za kizamani sana. Wewe endelea kuamini man city ndo timu bora kwako ..unakuja zinduka dakk za mwisho kama msimu uloisha na hatimaye unaishia nafasi ya pili au ya tatu ..kama klopp atakuwa na mawazo kama yenu basi ataendelea kuhesabu misimu empty mpaka anaondoka liverpool.
Mkuu Usiwabishe Sasahivi Watakuvamia Kwa Maneno..
Subiri Kuanzia November Wakati Washona Nyavu Kina (Kane, Aguero, Salah Na Lukaku) Wakishakaa Kwenye Nafasi Zao ndiyo uje Uwaulize Mr. Mapenalty Kaishia Wapi?

Hawa Ni Wepesi Wa Kusahau Kwani Hata Kante alipobahatisha goli Kwenye Mechi Ya Kwanza Walimtangazia Kufunga Magoli Mengi nikawaambia Hana uwezo Huo basi Walikuwa Wakali hatimae Sasahivi Wameufyata.
 
Kiatu gani? mapema tu hivi mmeshaanza kuacha laana zenu? Hahaha yani hamjiamini kabisa.

Ok icho "kiatu" atachukua mane.

Usifikiri Harzard anafunga magoli ili achukue kiatu, kinachotakiwa ni ushindi kwanza. Ilo la kiatu ni suala jingine kabisa.

Hivyo jiamini mkuu. Usipate tabu na Harzard
Save hii hazard hawez chukua kiatu
 
Hakuna kazi rahisi isiyo na mawazo kwa mfungaji kama kufunga kawaida
Penalty mfungaji analiona goli dogo na goalkiper anajipa asilimia nyingi tu za kuudaka
Mkuu kwanini upate tabu kubishana na hizi shabiki zenye mawazo ya kizamani? Wewe wakubalie tu kuwa yule mane ni bora kuliko Hazard kwa sababu yeye "ajafunga kwa penati" yani ndo point zao wanazojaribu kuja nazo ili kuficha uzaifu wao. Kwa mkuu wakubalie tu
 
Nasikia yule kocha wenu amemjibu yule beki wa zamani wa manure Garry bovu cjui Garry nevo kuwa ana uwezo wa kubeba EPL na UEFA hahahaha nilivyosikia nilicheka sana. Yani kufika fainal msimu uloisha na kushinda hizi game tano za mwanzo wa ligi kume mpa kiburi hadi kufikia kusema ivyo!

Je wewe una maoni gani na kocha wako unadhani yuko sawa? Alikuwa wap misimu yote ya nyuma asitoe iyo kauli? Au ndo kiburi cha ushindi? Eti mkuu..
Hazard MAPENATI ?
 
Kiatu gani? mapema tu hivi mmeshaanza kuacha laana zenu? Hahaha yani hamjiamini kabisa.

Ok icho "kiatu" atachukua mane.

Usifikiri Harzard anafunga magoli ili achukue kiatu, kinachotakiwa ni ushindi kwanza. Ilo la kiatu ni suala jingine kabisa.

Hivyo jiamini mkuu. Usipate tabu na Harzard
Usipanic mapema namna hii

Maana hata lfc tulikua tukipata clean sheet mnaumia pia

Afuu nakukumbusha kale kamdundo ka uefa safar hii hakawahusu
 
More to Come........Mengi yanakuja......Rudi nyumbani kijana Kumenoga, sasa hivi ni pilau nyama kila uchao.......

skysports-maurizio-sarri-chelsea_4424547.jpg

Pia cheki huyu jamaa, si mimi ila ni takwimu zinaongea......

1537270780444.png

Soma hapa chini majibu ya Sarri alipohojiwa na Mwandishi wetu kuhusu Jorginho......

Jorginho ni zaidi ya mpikaji pale dimbani, anatoa amri kwa wachezaji wenzake wacheze vipi, Ni Mwanaume wa shoka kwa Sarri, anafundisha namna ya uchezaji kwa mfumo mpya wa kushambulia kwa kasi wakiwa wanamiliki mpira kwa kiasi kikubwa hasa wakishavuka mstari wa kati (Pressing....) Huu ni mfumo mpya na mtamu kabisa ukiringanisha na ule wa Conte pamoja na Jose ambao timu ilishinda ligi kwa kupaki basi, lakini huu ni tofauti kabisa.

Sarri anaendelea kusema kwamba " Ni kucheza mpira na si kukimbia na mtu - Jorginho analijua hilo zaidi ya mtu yeyote na ndiyo maana akienda ku-press mbele anajua kama wakipoteza mpira awe wapi kwa wakati gani ili kuwalinda mabeki wake 4, hilo sina wasiwasi nalo kabisa

More to Come..................This is Chelsea...... Raha tupu kila weekend......Rudi nyumbani kumenoga....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom