Kuna watu humu waliweka hela kwamba chelsea anamaliza juu ya liverpool .

Sent using simu mbovu

Yani umenikumbusha ndiyo namalizia kufukua hili kaburi.

↓↓

Kuna watu mnapenda kujifariji.


I swear to you...Liverpool ikimaliza huu msimu juu yetu kwa njia yoyote utakayoamua..nitakupatia Laki tano kamili.

Sihitaji chochote kwako..ni imani niliyonayo juu ya hii klabu aisee.

####

Hehee.. Mkuu na mimi najazia hapo. Naongeza kilo mbili na nusu iwapo nyinyi mtamaliza juu yetu.

Hamba mbavu wala ubavu huo. Namaanisha nisemacho

####

Nadhani wanahiari yao kuganya Muamala Muda huu au Wasubiri May. Si waleweka wenyewe ahadi za Mihemko!
 
Unaongea kiliverpool mno
Chelsea tuna mfumo mpya ambao wachezaji bado hawajaushika vizuri japo wengine wanaona tayari lakini bado sana inatakiwa kumpa muda sarriball wa kuitendea haki falsafa yake ndani ya chelsea
😂😂😂😂🔨🔨🔨🏃🏃🏃
 
Nimeona wavamizi wanachonga sn km wamemeza frash matumboni kwao...

Ha ha ha ha....


Mnataka ktk hizo timu tatu ambazo hazijafungwa Chelsea ndio iwe ya kwanza eeeeeehe?

Shwain nyie. Angalieni ratiba za timu zenu za michezo ijayo kisha muone nani atagegedwa mapema.
😳😳😳😳😳😳🔨🔨🔨
 
Hii komenti nahiifadhi hadi January.
Bado umesimamia kauli yako?
20190319_104648.jpeg
 
Back
Top Bottom