M CM
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 2,498
- 1,482
Tungetangaza ubingwa chrismas
Tungetangaza ubingwa chrismas
November mkuu. Christmas ingekuwa mbali mno.Tungetangaza ubingwa chrismas
Ubingwa kwa chelsea ni muhimuChelsea mwaka huu hatuna mpango na ubingwa bali tuna mpango wa kutandaza kandanda safi. Ubingwa ukitokea mwishoni tutashukuru Mungu
Ubingwa kwa chelsea ni muhimu
Hilo soka zuri bila ubingwa halina maana kwa team kubwa kama chelsea
E&K
Ni swala la kuwakumbusha tu majukumu yao ya kukaba sifikirii kama wamesahau kabisaYaani timu yenye mnaacha matobo nyuma mchukue ubingwa?
Labda ndotoni.
Ni swala la kuwakumbusha tu majukumu yao ya kukaba sifikirii kama wamesahau kabisa
E&K
Usije ukajuta na maneno yakoTutawakumbusheni kwa kuwachapa matatu.
Yaani timu yenye mnaacha matobo nyuma mchukue ubingwa?
Labda ndotoni.
Hizi Tambo huwa nazipenda kweli kweli....ivi toka mwaka gani unatamba then huambulii chochote.Kwanza kombe la Mbuzi unakuja kwangu nakupiga
Kisha siku 3 baadae EPL kwako pia nakunyuka
Sent using Jamii Forums mobile app