eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Hizi hazina maana cha muhimu point 3 mkuuVipi kuhusu goli difference, clean sheets, na shots on target?
E&K
Hizi hazina maana cha muhimu point 3 mkuuVipi kuhusu goli difference, clean sheets, na shots on target?
Asante kesho tutakuja kule kwako kwa mashetani wekundu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulizana hiyo ilikuwa mipango ya Sarri ball king ngwaba
Usiombe ukutane na sisi hutapiga pass kabisa mkuu
E&K
Yani hata kumwaga maji huku pembeni hawamwagi kabisa, sijui kwanini aiseee[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa sarriball hii kitu inakuja
E&K
Je, hiyo aliyoikuta Sarri imekamilika vipi kulingana na mfumo wake...?Ndiyo Klopp anatengeneza Timu Na Kila Mtu anaona Kutokana na Utafauti Wa Timu aliyoikuta na Anavyoibadilisha kidogokidogo that is why Hukutii Bodi ya Timu Kumpressurize Hata kama hana Kombe.
Ni tofauti na Sarri ambaye Kakuta Timu ipo imekamilika Yeye atumie tu bila ya Matengenezo Bali anaboresha tu.
Alafu anategemea upate magoli kirahisi namna hiyoWewe naye...
Newcastle wamecheza dakika sabini kwa mfumo wa 5-4-1.
Tena in reality ni sawa na wamecheza 9-0-1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Hazard sometimes huwa ana pooza muvi/mashambulizi...Naona wote wameuelewa mfumo wa sarri iwe hazard, willian, Pedro, giroud, morata sawa tu
E&K
Ndio maana sishangai Gurdiola akitoa povu baada kumkosa huyu kiungo...
Kiwango cha juu ndio. Lakini kocha alotoka alikua anatumia mfumo gani na huyu wa sasa anataka kutumia mfumo gani. So kwa namna moja au nyingine haiwezi kuwa rahisi kwa wachezaji hata kama wako bora kiasi gani. Kikubwa ni mfumo yan namna ya uchezaji tena baadhi ya majukumu yanabadilika kwa wachezaji. Mfano Kante katoka CDM kapanda juu zaidi. Kwa hiyo bado si rahisi kuadapt huo mfumo.inategemeana na aina ya wachezaji-wachezaji aliwakuta klop ni wa kawaida sana hivyo lazima kumuchukua muda mrefu kujenga timu tofauti na wachezaji aliwo wakuta sari chelsea ambo wengi ni wa kiwango cha juu
Kacheze wewe mpira mzuri.leo chelsea imecheza mpira wa hovyo sana
Si ndio mkuu mpira wa Sarri umeanza kwiva kwa wachezaji lakini naona kama tunafungika kirahisi sana.Tulipofikisha pass 670 mbele ya arsenal basi nilijua Sarri ball imeanza kufanya kazi
Arsenal walikuwa na pass 300 na kitu hivi
E&K
Kweli mkuu apo ndo Sarri anapo kwama aise..Tofauti ya guardiola na sarri ni kwamba sarri bado hajui kuzuia
Wakati guadiola kuzuia sasa hivi anaweza
E&K