Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
26" Chelsea 1 0 Liverpool
E Hazard
E Hazard
Tamu sana.! Mpaka mtu unajihisi kama unapiga papuchiChelsea wnacheza mpira wa kuburudisha.
HahaaaaaaaaTamu sana.! Mpaka mtu unajihisi kama unapiga papuchi
Hahahaghahahaha...Tamu sana.! Mpaka mtu unajihisi kama unapiga papuchi
Mambo ni moto Huku View attachment 881623
Hawa watabiri wadumuWatabiri wanasema ni sare hii match
Na Jengine Mkuu Mentor iangalieni tena Sarriball yenu..
Kwama Wewe Ni Mshabiki Wa Chelsea tu basi Leo Ni sawa!!!
Lakini Kama wewe Ni Mshabiki Wa Mpira Kabla Ya Chelsea basi kuna Weakness Kubwa Sana Katika Mfumo Wenu na Stats Zinaonesha Kuwa Leo Haukufunction Klopp Kafanikiwa Kuutibua..
Sasa Liverpool si timu inayopress Marahii na imefanikiwa Kuudhibiti Sarriball, sasa Siku Mutakayokutana na Timu inayomiliki (Press) Mpira sijui itakuwaje!!!
Na Jengine niliwaambia Southern Highland na Mentor Kuwa Msimu Huu Chelsea is all about Hazard Kuwa Yuko Katika Peak Yake Ya Soka lakini Safu Ya Kina Willian, Giroud na Moratta haina Madhara Kwa Timu, Mulinibishia!
Sasa leo Kama Mutazungumza Kisoka nadhani Mumeconfirm.. Kama Mutazunhumzia Kiushabiki basi Mutakataa..
Ngoja tukuletee stats za first halfKipindi cha kwanza hamna mlichocheza, na mmeanza kuonekana dk y 70+ ambapo ni kawaida kwa timu iliyopoteza mchezo, hata mechi ya juzi mlipoteana hivyo hivyo
