Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Master possession
Ikikukera kunywa sumu View attachment 867373
EPL kwa Cherry-she bado haijaanza
Master possession
Ikikukera kunywa sumu View attachment 867373
Daah mmetisha. Barca 755, Man city 731Master passes
Leo zimepigwa 760
Hakuna team yoyote iliyocheza leo imefikisha hizo passes
Hutaki kajinyongeView attachment 867375
Kuparamia paramia tu mwishowe aibuLeo Chelsea wanagongwa vizuri tu
Wanajifanya kiherehere kufunga goli la mapema.Cardiff Njia aliyopandia daraja ndiyo anayoshukia daraja.
Namtakia Kila la Kheri Huko Championship anakoelekea Next season
Kama siafu vile
Hawakosekani mkuu. Dogo yupo vizuri sna tutegemee magoli mengi kwake msimu huuStill kuna mtu atakuja na kusema neymar ni bora kuliko hazard
View attachment 867368
Eden kimaro. Kwani huwafahamu wanavyochukia Chelsea?Hatimaye chelsea inaongoza league sasa
Wachambuzi uchwara hawakuiweka hata kwenye top 4 View attachment 867384
Yani mechi moja ya leo ndio unamlinganisha hazard na neymar! U gotta be kidding me! Neymar on another lane! Though hazard is the bestStill kuna mtu atakuja na kusema neymar ni bora kuliko hazard
View attachment 867368
good enough Leo mmekutana na kibonde.dawa yenu IPO jikoni maana Liverpool anawatamani sana!!Mkuu hiyo chelsea ya mtaa kwenu au.?
Sante kwa kutukubali bila shaka wewe ni Arsenal msiopenda makuu kama man3Daah mmetisha. Barca 755, Man city 731
Sisi siyo Tottenham sawa..! Tunawazidi kila kitu ujue..! Pass, magoli na position kwenye league.good enough Leo mmekutana na kibonde.dawa yenu IPO jikoni maana Liverpool anawatamani sana!!
Arsenal alikua kibonde.? Kila timu mnasema kibonde. Tehgood enough Leo mmekutana na kibonde.dawa yenu IPO jikoni maana Liverpool anawatamani sana!!
Chelsea msimu huu wako vizuri sana kwa mchezo uwanjani, toka kuanza kwa ligi naona hakuna team ilicheza na Chelsea ikaongoza ball possessionMaster possession
Ikikukera kunywa sumu View attachment 867373
Ni wenye matatizo ya akili ndio wanakua na misemo hiyo. Tujitahidi kuwavumiliaStill kuna mtu atakuja na kusema neymar ni bora kuliko hazard
View attachment 867368
Lampard moto mwingine bhana.Chelsea siipendi Lakini Hazard Ninamkubali Kupita Maelezo.
Ajitahidi tu lakini Lampard atabakia Kuwa Ni Boss Wa Midfielders Kwa Chelsea Manake Kuyafikia Magoli na Assists alizonazo Kunahitaji Karne Nzima.
Lampard sio baba la middifield Chelsea peke yake number hazidanganyi hakuna middle wa Utd, liver, city, arsenal mpaka Nottingham.... aliyekaribia moto ule epl toka ianzishwe vyuma 177Chelsea siipendi Lakini Hazard Ninamkubali Kupita Maelezo.
Ajitahidi tu lakini Lampard atabakia Kuwa Ni Boss Wa Midfielders Kwa Chelsea Manake Kuyafikia Magoli na Assists alizonazo Kunahitaji Karne Nzima.
Hazard mara zote alikuwa akililia formation ya 4-3-3 ndio maana hakuwa akipatana na Mou pamoja na Conte ambao mearly wao ni wa kupaki mabasi. Nafikiri kwa Sarriball formation atafunga 30+ goalsCome one Hazard35+ this season ,#SarriBall