Mkuu hiyo chelsea ya mtaani kwenu au.?Leo Chelsea wanagongwa vizuri tu
Tushaongoza mkuuChelsea hataki kuongoza ligi naona
Tena tupewe asubuhi tuuNashauri tupewe tu kombe ligi ianze tena upya
Do you see 20+ goals kwa Hazard this EPL season?Hawa madogo hata hilo goli moja hawakutakiwa kulipata