Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yajayo yanafurahisha na wapinzani watapata tabu sanaaaaaaaaaaa na sarriball
images(8).jpg
 
37 - Eden Hazard has scored in more home Premier League games without ending on the losing side than any other player in the history of the competition (37 - W34 D3 L0). Charm. OptaJoe on Twitter

IMG_20180916_093847.jpg
 
Liverpool wanajua kuchonga sana, Hivi wakibeba ndoo watakuwaje?
Natamani Chelsea wawasiribe michezo yote mpaka waseme ndio mzee huku wakiwa wamepiga magoti

Hivi Munaonaje Kulazimisha Upinzani Usiokuwepo?
Liverpool haijawahi na Wala Haitowahi Kuwa na Mpinzani Chelsea....

Our True Rival Ni Man United na Si Nyie..

Nyie Mpinzani wenu ni Fulham na Spurs...

Musiforce Kuandika Historian Ya Upinzani isiyokuwepo Wakati Timu Yenyewe imeanzishwa 2004.

Na Ninawashangaa Kukomalia Kushindana na Liverpool Wakati Ligi in Timu 20.

Sisi hatushindani na Nyinyi basi mukae Mukijua Kwamba Tunafocus game after game huku Tukimuangalia Kwa Karibu Man City na Sio Nyinyi.
 
Hazard mara zote alikuwa akililia formation ya 4-3-3 ndio maana hakuwa akipatana na Mou pamoja na Conte ambao mearly wao ni wa kupaki mabasi. Nafikiri kwa Sarriball formation atafunga 30+ goals

30+ goals?? 😀😀😀
Fans wengine bhana!!! Hivi unadhani Penalty Mutapata Kwa Kila Mchezo?
 
Hivi Munaonaje Kulazimisha Upinzani Usiokuwepo?
Liverpool haijawahi na Wala Haitowahi Kuwa na Mpinzani Chelsea....

Our True Rival Ni Man United na Si Nyie..

Nyie Mpinzani wenu ni Fulham na Spurs...

Musiforce Kuandika Historian Ya Upinzani isiyokuwepo Wakati Timu Yenyewe imeanzishwa 2004.

Na Ninawashangaa Kukomalia Kushindana na Liverpool Wakati Ligi in Timu 20.

Sisi hatushindani na Nyinyi basi mukae Mukijua Kwamba Tunafocus game after game huku Tukimuangalia Kwa Karibu Man City na Sio Nyinyi.

Hahaha it's funny when you stoop this low.

We don't keep permanent rivals. You were our rivals kwa sababu mlikuwa mnashikilia nafasi yetu hapo juu. Na rivalry yetu na nyie itaisha mwisho wa mwezi tutakapokuwa tumechukua point zetu.

Msimu huu Manchester city ni our season rivals mpaka tutakapowavua ubingwa.

Sijui wewe unatazamaje rivalry.
 
Haha nyumbu wa chelshit mnafurahisha mtakufa 3 nakuhakikishia
 
Hivi Munaonaje Kulazimisha Upinzani Usiokuwepo?
Liverpool haijawahi na Wala Haitowahi Kuwa na Mpinzani Chelsea....

Our True Rival Ni Man United na Si Nyie..

Nyie Mpinzani wenu ni Fulham na Spurs...

Musiforce Kuandika Historian Ya Upinzani isiyokuwepo Wakati Timu Yenyewe imeanzishwa 2004.

Na Ninawashangaa Kukomalia Kushindana na Liverpool Wakati Ligi in Timu 20.

Sisi hatushindani na Nyinyi basi mukae Mukijua Kwamba Tunafocus game after game huku Tukimuangalia Kwa Karibu Man City na Sio Nyinyi.
Ninachojua Man u imebaki jina tu na Liverpool pia imebaki jina
Hizi team mbili zina wachezaji wa kawaida sana kwa sasa tofauti na zamani
 
Hahaha it's funny when you stoop this low.

We don't keep permanent rivals. You were our rivals kwa sababu mlikuwa mnashikilia nafasi yetu hapo juu. Na rivalry yetu na nyie itaisha mwisho wa mwezi tutakapokuwa tumechukua point zetu.

Msimu huu Manchester city ni our season rivals mpaka tutakapowavua ubingwa.

Sijui wewe unatazamaje rivalry.

Mimi Sishindana Na Chelsea pekee Bali Nashindana na Timu 19.... Lakini Nyinyi Munaforce ionekana Kama Mpinzani Wetu Mkuu Ni Chelsea Wakati Sisi Hatuna Kitu Hicho.
Sisi Chelsea kwetu Ni Timu Ya Kawaida tu Na Wala sio Mpinzani wetu.
 
Naona na wewe umeanza kuwaogopa wazee wa darajani.

Nani sasa haiogopi Chelsea. Cc: Malafyale.

Halafu Jengine Naona toka Ligi ianze Kuna Mashabiki Wanapost Kuhusu Salah tu! Vipi Kuna Kombe la Salah Linawaniwa au?

Naona Baada Ya Kuconcentrate na Analysis za Timu yenu Mumekuwa Mukijadili Ya Liverpool tu.

Kila Siku eti Salah ana magoli mangapi!!!!
Hivi Salah Kuna Mtu Chelsea anashindana nae au?
 
C. Rinaldo alikuwa Ni Mr. Mapenalty...
Sasa Amepata Menziwe Humu... Naona tayari ameshakwamisha Penalty 2 za Kumbust Kimagoli... Jambo ambalo tunaliona Kawaida Mchezoni Kwani Penalty Ni Sehemu ya Mchezo.. Lakini Watu Wanaanza Kuleta Mijadala eti Salah hafungi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom