Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo umeanza kuchanganya mambo sasa. Arsenal kufungwa 3–0 na Brighton, halafu Chelsea kuwafunga Brighton 4, umeamua hiyo ndiyo formula ya kuipima City?
Sunderland leo wamepata mabao 3 dhidi City, na wameisumbua hadi mwisho, kwahiyo jamaa amepima uwezo wa Sanderland kwa City. Ndio akasema wakikutana na Chelsea sijui itakuwaje....

Ila elewa pia, Chelsea tayari ameshapigwa na Sunderland mara mbili msimu uliopita.( Home and Away)
Haujanielewa, mi nimemkatalia huyo dogo kuwa mpira haupimwi kwa hivyo, ndio mana nikamtolea mfano wa Brighton. Kuwa ingekua ni hivyo kwa kua Brighton kamfunga Arsenal 3 na Arsenal kamfunga Chelsea na ingekua chelsea haijacheza na Brighton basii mngeanza kusema itafungwa 10. Mpira haupimwi hivyo.

Kwa hiyo kwa kuwa Sunderland alimfunga Chelsea msimu ulioisha basi ndio tiketi atashinda na msimu huu?

Brighton msimu ulioisha walimfunga Chelsea Goli tatu Home and Away.
 
Haujanielewa, mi nimemkatalia huyo dogo kuwa mpira haupimwi kwa hivyo, ndio mana nikamtolea mfano wa Brighton. Kuwa ingekua ni hivyo kwa kua Brighton kamfunga Arsenal 3 na Arsenal kamfunga Chelsea na ingekua chelsea haijacheza na Brighton basii mngeanza kusema itafungwa 10. Mpira haupimwi hivyo.

Kwa hiyo kwa kuwa Sunderland alimfunga Chelsea msimu ulioisha basi ndio tiketi atashinda na msimu huu?
Subiri Novemba, Sunderland wanakuja kuwajibu wenyewe.
 
Ila tuliomba mpira uishe maana 2-0, ghafla 3-2, mwishowe 4-3.
Poor viungo wakabaji na mabeki.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mbona kusuffer tumeanza kusuffer kabla hata ya Brighton, kocha akataka kujaribu kupata clean sheet kwa nyuki ndio kwanza kaishia kula chuma tatu.

Bora tuendelee tu na ushindi wetu wa magoli mengi kwa mengi.
 
Ila wanangu huu msimu tuna timu ya kisenge pia , yaani tunaungaunga kisenge mama eee hasa kiungo na beki ,Sidhani Kama tutatoboa aisee kwa hali hii
 
Hatimaye Man City wahukumiwa na makosa 144, Enzo Maresca na Enzo Fernandez wanaweza wakajikuta wako Championship msimu huu au msimu ujao.
1790366395416.png
 
Hatimaye Man City wahukumiwa na makosa 144, Enzo Maresca na Enzo Fernandez wanaweza wakajikuta wako Championship msimu huu au msimu ujao.
View attachment 3677875
Maboresho:
Man City wapatikana na makosa 114 kama ilivyoripotiwa na @TheAthleticFC. Kama FA, EPL wakitoa hukumu inaweza ni
  1. Point deduction 30, 40, 50 ,au 60
  2. Transfer ban
  3. Faini ya pesa
  4. Kunyang'anywa makombe waliyoshinda kwenye kipindi hicho
  5. Kushushwa daraja au
  6. Kufukuzwa kabisa EPL na ligi zinazosimamiwa na FA
 
Hii habari nilivyoisikia nilipenda kwa kweli siwapendi Enzo wale mapacha
 
Nyie mtaishia nafasi ya 17 msimu huu ..... kiungo cha lavia, hendo na Caisedo?

Mabeki ndio kina James tirp shamba trip gereji? Kipa Letu Marktinez kila mtu akipiga tu imo !

Alonso ajitafakari sana, timu inarukaruka, sub za ovyo... kule ujerumani alijiokotea lile kombe nae akajikuta ni lijendi sio ,? Ngoja apapaswe huku EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom