Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huu mtaa ukikung'ang'ania hakuachi hadi ligi iishe

Win 6th
Draw 6th
Lose 6th
Hazard is the beat player in the league 6th
Kante is the best DM in the league 6th
Sarri ball 6th
Sell Morata 6th
Sign Higuain 6th
Game in hand 6th
Play game in hand 6th
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

You forgot Against Man City, Conceded 6.
 
Sarri sio kocha wa kuifundisha timu yeyote EPL.. Arudi tu uko kwao sirie A, EPL ngoma itamshinda..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri atafute tu timu yenye kumaliza ligi ikiwa nafasi za kati kati, itamsaidia kujijenga zaid lkn hizi timu zetu kubwa EPL zina presha sana na namuona kabisa yeye si mtu wa kuvumilia kelele za mashabiki wala makosa ya wachezaji wake uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanikumbusha ile kauli ya Mliverpool Halisi kuwa "Wewe hujui soccer management kuliko Sarri" Sarri anajua zaidi kuliko nyinyi nyote humu
Kwahiyo ndugu yangu hutaki tuje kwenye misiba yenu kuwafariji hata kwa maneno ya kufurahisha kama chelsix 😂😂😂🔨🔨
 
Yani ile misifa ya Sarriball na Mistats ya Joginho tuliyokuwa tukisifiwa kila Siku sijui hata yameishia wapi!!!! [emoji23] [emoji23][emoji23]

Tukiamua kufukua makaburi ya mwezi July mpaka September hapatatosha hapa... 😀😀

Au tuanze kufukua Makaburi? Munasemaje wadau?
 
IMG_5057.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chelsea ndio bingwa sio timu ya mtu mmoja Salafina

Sasa viongozi Mimi nimeshakamata Jembe na Pauro/Chepe naanza kufukua Makaburi. Nitahitaji msaada [emoji23] [emoji23][emoji23]

Huyu alijitangazia ubingwa kwa Sarriball hatimae katoweka hajuilikani alipo.
 
Waliokuwa na wasiwasi na mashaka kwamba Kante atacheza vipi na Joginho naamini Jana mmepata majibu.

Kante kwa sasa atakuwa anakuwa anacheza mbele ya midfield wawili kulia. Kwa hiyo tutegemee kumuona Kante akishambulia zaidi na hivyo tutegemee magoli zaidi kuliko misimu ya nyuma.

Ameshafikisha magoli mangapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom