jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
Sawa ila umeme ni umeme tu mkuu



Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa ila umeme ni umeme tu mkuu



Ungekuwa na akili ungeangalia link ya picha ungeona tarehe ya picha kupigwa na kuwekwa humu ila kwa sababu hauna akili endelea kusubiri screenshot,
Na ukae ujue kupitia hiyo picha moja kama umepost popote nje ya JF nina uwezo wa kupata nyingi zaidi![]()
Mwezi wa nne
Clever bongolala, 2019 was just 65 days ago
Hiyo mukunya ni stupid monkey in Nairobi the green shit in the slumFala wewe. Kwani ripoti iliandaliwa mwezi wa ngapi? Au shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga?
😂 😂 😂True hiyo picha tuisachi kwa google image tuone ,kuna mkenya mmoja siku za nyuma alijipost hapa anavinjali nchi za wazungu akafuta sura watu wa jf tz tukamsachi tuka mtumia mipicha yake kibao na mitandao anayo tumia wakenya walilia mwezi mzima hiyo ilikuwa pigo mojawapo lililo wafanya wasusie jf mwezi mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
If they can allow a 20 floor building in Kileleshwa, an area that has strict building rules, then why did the court stop the construction of Cytton towers in Kilimani? It doesn't make any sense to me considering that Killimani already has a 25-floor building
I hear that Britam was behind the fall of Cytton tower, Britam is afraid of real estate competition from Cytton.
Sent using Jamii Forums mobile app
Britam should realize that they do not have monopoly in this sector. Using underhand dealings to counter the progress of their competitors is not healthy at all. I hope Cytton will buy a prime plot In Upperhil or Westlands. This way they'll proceed with the project without much hindrance
Kule kwa majirani is there any serious projects going on ama walishafika mwisho wa reli?![]()
![]()

Sasa nitafutaje screenshot uliyopiga wewe nawe kilaza? Nitaingia kwa simu yako niifute?
You know Cytton separated from Britam with so many workers so I think Britam only wants to discipline them na kuwaambia it's still the father of real estate in Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kipande cha Moro-Makutupora kitanda kwa kasi sana kwa inavyoonekana.

nasema hivii hili suala la mpunga yn ku make money hakuna mpuuzi yyte EA anaweza shindana na Tz, yn kwa tafsiri nyingine cc ndio wanaume pekee etu apa EA hakuna punga yyte anaweza kushindana na Tz anaebisha asogeze pua yake hapa nimpe dozi akimbie uzi 




Kwa hiyo mnataka kusema hamna mafuta ya kupaka?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii picha ulipost ni Arusha na wapi? Hata kama ni kuiba picha please try to steal it from another country but not Kenya.
Ichoboy hii ni Arusha na wapi?View attachment 1372533
Huyu ni mwiziHii picha ulipost ni Arusha na wapi? Hata kama ni kuiba picha please try to steal it from another country but not Kenya.
Ichoboy hii ni Arusha na wapi?View attachment 1372533

