Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Give us a source that u believe it is credible.
It's not about credibility. The last time N article was shared here from this newspaper placing Kenya ahead of Tanzania iliitwa gazeti la kikenya by one Ichoboy. We are living in interesting times!
 
IMG_6455.JPG

Samora Tower

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
I am still waiting for the screenshot kijana wa tandale.
Ungekuwa na akili ungeangalia link ya picha ungeona tarehe ya picha kupigwa na kuwekwa humu ila kwa sababu hauna akili endelea kusubiri screenshot,
Na ukae ujue kupitia hiyo picha moja kama umepost popote nje ya JF nina uwezo wa kupata nyingi zaidi 😂😂😂
 
So picha kuwa na tarehe ya picha inamaanisha nini? How does that relate to me? Ama ni ajabu kwako picha kuwa na tarehe iliyilopigwa and how does that relate to an individual?
 
Wewe fala kwelikweli, unaleta taarifa za mwaka 2019 wakati tunaongelea mwaka 2020. Mmeshikwa makende mnatafuta pa kutokea? Stupid Kunyan
Clever bongolala, 2019 was just 65 days ago
 
So picha kuwa na tarehe ya picha inamaanisha nini? How does that relate to me? Ama ni ajabu kwako picha kuwa na tarehe iliyilopigwa and how does that relate to an individual?
Vitu vingine ni vikubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri,
Hivi unafahamu kuwa kupitia url ya picha unaweza kugundua kuwa picha fulani imepigwa kwa device husika au imeshushwa 😂😂😂
Baki hapo hapo subiri screenshot ila ujue tu kuwa ulijipost humu.
 
Back
Top Bottom