Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli wakenya mpo mbali kabisa na hatuwezi kuwakuta kabisa,,
Majengo mazuri yote ya kwenye station za reli huku bongo ni kama Majengo ya soko ya kuuzia nyanya, hayana mvuto kabisa, yanajengwa kama ya kizamani,, kweli tunarudi nyuma kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
We hujitambui ndo mana hata huku palikushinda,
Screenshot_2020-03-05-21-35-18.jpeg
 
True hiyo picha tuisachi kwa google image tuone ,kuna mkenya mmoja siku za nyuma alijipost hapa anavinjali nchi za wazungu akafuta sura watu wa jf tz tukamsachi tuka mtumia mipicha yake kibao na mitandao anayo tumia wakenya walilia mwezi mzima hiyo ilikuwa pigo mojawapo lililo wafanya wasusie jf mwezi mzima

Sent using Jamii Forums mobile app

naweza kuifanya hii kazi .. hio picha ya huyo jamaa niliitumaga mim kipindi hiko
 
Ulipost hiyo picha kiongozi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Niliuliza mwenzako anipe screenshot akashindwa. The pictures I post here I always download and a few are screenshots which means they are found on download and screenshot folders respectively ila yeye anasema picha ilipigwa na camera ya simu.
And even if that was me, why would I deny?
 
Kama si wewe ni Nani yule
Je wewe ni me au me
Je kama ni ke huyo mwanaume ni nani yako
Je kama ni me kwanini huyo me asiwe wewe? Au ni basha wako
Sisi tunataka kujua ulipost uyo jamaa aliye pauka kama kipande cha muhogo kwa sababu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakenya munatibu nn china😁😁😁
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💉💉💉💉
FB_IMG_1583469908952.jpg
 
Back
Top Bottom