Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picha ulipost ni Arusha na wapi? Hata kama ni kuiba picha please try to steal it from another country but not Kenya.

Ichoboy hii ni Arusha na wapi?View attachment 1372533
Pumzika hapa🤣🤣👇👇👇👇arusha inakutoa jasho nilijua tz ya 90s
1590176_IMG_20170910_181058 (1).jpg
1590179_IMG_20170910_174356.jpg
images - 2020-02-29T050200.320.jpeg
1590180_IMG_20170910_181149.jpg
images - 2020-02-29T044704.319.jpeg
1590173_IMG_20170910_181252.jpg
1621845_Insta-image.jpg
images - 2020-02-29T044640.741.jpeg
 
Siku hizi Arusha imehamishwa hadi Nairobi?? 😂 😂 😂. Hapa ni Arusha Upande gani?
View attachment 1372535
🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Kuna mtu aliyeclaim kuwa hiyo picha ni ya Tanzania? Hiyo ni news article na kuonyesha mfano wa barabara halisi wanaweka picha ya barabara nyingine. Ni ujinga wako tu ndio unaokusumbua.
Hiyo picha imepostiwa ikiwa na maelezo kabisa nashangaa sijui kiherehere anatoa wapi 😂😂😂 ingekuwa labda ilipostiwa bila maelezo angekuwa sahihi lakini Kuna maelezo ndo utagundua wakenya wana akili fupi,
Hiyo barabara ni Hazara motorway kule Pakistan.
 
Hiyo picha imepostiwa ikiwa na maelezo kabisa nashangaa sijui kiherehere anatoa wapi ingekuwa labda ilipostiwa bila maelezo angekuwa sahihi lakini Kuna maelezo ndo utagundua wakenya wana akili fupi,
Hiyo barabara ni Hazara motorway kule Pakistan.
Wapi maelezo hapa? This is what your country man posted.
tapatalk_1582981529317.jpeg
Screenshot_20200229-164353.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom