Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somewhere in EA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Picha zimepigwa leo na hii ndio hali halisi.
IMG_20200306_093746_586.JPG
IMG_20200306_093804_458.JPG
IMG_20200306_093820_654.JPG
IMG_20200306_093831_221.JPG
IMG_20200306_093844_067.JPG
IMG_20200306_093855_161.JPG
IMG_20200306_093906_392.JPG
IMG_20200306_093933_970.JPG
IMG_20200306_093946_619.JPG
 
Ile ripoti ya jana naona imezua mijadala mnoo,
Comment za kwenye hii tweet
Hii inasikitisha kwakweli, wakenya wamekuwa hopeless kabisa ila naomba Tz tusibweteke tuishi kwny malengo tuliyojiwekea ya kuwa middle income country ya ukweli na co huu ushuzi baadhi ya nchi zikijinadi kwmb ni middle Income wkt co kweli, angalia jamaa wanavyotia huruma
Screenshot_2020-03-06-10-47-47.jpeg
Screenshot_2020-03-06-10-48-24.jpeg
 
Ndo kusema Wakenya mmesusa au yn dozi kdg tu ya millionaires mshasusia uzi ss hzo dozi znazokuja c ndo mtatuwinda km Al Shabaab .

R.I.P KE economy
Ngj niwa tag hapa

Cc: Zigi Rizla Nicxie mwaswast Teargass engeneer levin devin komora096
Bado usisahau kua dawa ya Nicxie ya BRT iko jikoni naiandaa hakikisha funga gate asitoke mtu yoyote hata kuku asiekua na manyoa asitoke mpaka nimpe dawa yake ili apate Tiba ya uhakika na salama kwa maisha yake yote😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom