Hizi nondo za leo si mchezoMwehu uyo mwalimu wa primary anaongopea watu yy ni medical doctordunia haijawahi kukosa vituko, eti wana investors na huku wanakula locusts
You have the picture yet you can't do a simple screenshot? How now? 😂 😂Screenshot ya kazi gani au ili ukaifute,
Hiyo ikae hapo hapo ili wengine wakuone ulivyo parara,
Si uliipost mwenyewe 😂😂😂
Hiyo link nimekupa hapo juu ndio link ya picha na picha yenyewe iko na hadi tarehe iliyopigwa.
Tushindwe na dream houses??? Wewe kweli mwehuWanajaribu kuharibu huu uzi kwasababu wameshashindwa tayari😀😁😁😁😁
Ili ukaifute 😂😂😂You have the picture yet you can't do a simple screenshot? How now? 😂 😂
Hiyo broken iliyopigwa hapo hadi shetani kashangaa,inakuwaje mzungu wa afrika anapiga english mbovu namna hiyo
Sasa nitafutaje screenshot uliyopiga wewe nawe kilaza? Nitaingia kwa simu yako niifute?Ili ukaifute 😂😂😂
Hiyo ibaki hapo hapo,
Na hiyo picha inaonesha kabisa kuwa hiyo device iliyopost hiyo picha ndio iliyopiga hiyo picha.
Kutoka Dar to Soga tumetumia treni ya TRL.. it means kuna maeneo bado reli haijajengwa View attachment 1275954View attachment 1275955View attachment 1275956
kutoka Soga hadi before daraja la Ruvu tukatumia treni ya Yapi.. it means reli ya SGR ipo tayar kwa matumizi
View attachment 1275957
View attachment 1275958View attachment 1275959View attachment 1275960
Soga Station... ila walivyojenga hiv stations vidogo wametumia akili sana, hawataka kutumia hela nying kujenga mastations makubwa wakati maeneo kama haya population ni ndogo sana
View attachment 1275964View attachment 1275965
Sehem ya Ruvu kuna madaraja mengi sana yanajengwa
Tutaendelea baadae.. network unasumbua sana huku

Kilaza ni wewe unayekataa picha yako,Sasa nitafutaje screenshot uliyopiga wewe nawe kilaza? Nitaingia kwa simu yako niifute?
Kilaza ni wewe unayekataa picha yako,
Nimekupa hadi link ya hiyo picha,
Kuhusu kupost screenshot hilo sahau kabisa.

Ule ujinga wa kurudiarudia picha kajituma nae. ..ujinga Ni kaziMkuu tender zilishatangazwa zamani, nafikiri serikali imeamua mutants Siri, kama umesikia wanasema wataanza test may au June maana yake huo mzigo yawezekana ukawa kwenye meli sasa hivi au wanajiandaa kupakia.Wakuu Punguzeni mchecheto Treni za Tanzania bdo TRC/Serikali hazijatangazwa ni nani alieshinda Tenda ya kusupply hizo EMU's, atatangazwa mshindi ni nani na ni kwa kiasi gani zitacost then mtaoneshwa renders ama replicas zake au picha za mfano wa makampuni ambayo yanatumia model kama hizo na pia itatolewa time frame yake ya kuzitengeneza na mpka kuzisafirisha na kufika hapa TZ(Utaratibu ndo uko hvyo) , so kuweni na subra msipost post tu mapicha mapicha ambayo yanapotosha uhalisia na pia nawashauri mulimit/mupunguze kdgo expectations na majigambo yenu coz zinaweza pia kuchaguliwa treni za umeme ila ambazo hazina mvuto tukaambulia kuchekwa humu ndani na majirani😂😂😂.
hizi ni link za website ambazo taarifa zote za treni duniani zipo so TZ ikichagua tu kampuni ya hizo treni basi hapa taarifa lazima mtaziona.
Rail business, industry and technology news from Railway Gazette International
Home - International Railway Journal
Na utakuta hizo picha anazo zirudia rudia amezitunza kwenye simu yake 😂😂😂
Alaf walikua wanakuja hapa ohh sisi tuna millionaires sijui sisi GDP ushuzi wa bata😀😀😀
Utawaskia ohh sisi tuna millionaires wengi ushuzi wa kuku😀😀😀😀