Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majina tu inaonesha fika umehadithiwa wala hujui ss kwa taarifa yako mwambie aliekuhadithia arudie upya
Ona ulivyo na jealous, hyo picha imekupenya vilivyo unamtafuta mchawi

Ukinionesha quality airport km hii ndani ya Nairobi ntatuma ujumbe kwa mods wani ban ucku huu huu daadekii View attachment 1377291View attachment 1377292View attachment 1377293
Good for nothing,, haha,jkia is the most important airport in east Africa and 4th best in Africa,BTW u are not the only one who has upgraded your airports in Africa,Senegal,Nigeria etc have done so,yurs is not special at all,hahaha
 
inayoonekana hapo.. sio uliopigia hii picha

Hiyo ni Go Pro Hero 6 Black. Inafaa sana kwa kuwa ina wide angle .

IMG_6491.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu Punguzeni mchecheto Treni za Tanzania bdo TRC/Serikali hazijatangazwa ni nani alieshinda Tenda ya kusupply hizo EMU's, atatangazwa mshindi ni nani na ni kwa kiasi gani zitacost then mtaoneshwa renders ama replicas zake au picha za mfano wa makampuni ambayo yanatumia model kama hizo na pia itatolewa time frame yake ya kuzitengeneza na mpka kuzisafirisha na kufika hapa TZ(Utaratibu ndo uko hvyo) , so kuweni na subra msipost post tu mapicha mapicha ambayo yanapotosha uhalisia na pia nawashauri mulimit/mupunguze kdgo expectations na majigambo yenu coz zinaweza pia kuchaguliwa treni za umeme ila ambazo hazina mvuto tukaambulia kuchekwa humu ndani na majirani.

hizi ni link za website ambazo taarifa zote za treni duniani zipo so TZ ikichagua tu kampuni ya hizo treni basi hapa taarifa lazima mtaziona.
Rail business, industry and technology news from Railway Gazette International

Home - International Railway Journal
Sawa ila umeme ni umeme tu mkuu
 
Ss residential ndg hatuwezi fanana ww utaniletea picha chache za cages wanazoishi wageni, mm nkikuletea nyumba halisi mnazoishi Wakenya about 60% utaanza kulia oohh mbn unaleta slum yn unavyopachukia utadhani ww hauishi humo, ndo mana nmeona bora nkuletee Amsterdam Schiphol Airport of Africa ulie vzr.
Wanazoishi wageni? Wageni kutoka Tanzania? 😂 😂 😂 😂 Kumbe kuna wageni wengi sana Nairobi.
Burudisha macho na picha za nyumba za wageni ukiwaza kuhusu dream houses 😂
images(335).jpg
images(304).jpg
2296138_download-23.jpeg
images(306).jpg
stdmbsjydepgzsnep.jpg
C2tQ_8xXAAAO_La.jpg
2272986_10478959_n4_jpega070b1ab6757e865039439fa89e61bb6.jpeg
images (87).jpeg
images (94).jpeg
wdp-zb5679-295608-201.jpg
images(143).jpg
images(146).jpg
images(144).jpg
images(134).jpg
images(115).jpg
images(121).jpg
images(128).jpg
images(114).jpg
images(127).jpg
images(126).jpg
 
Na huwezi kununuaa ata moja hapo. Apo si slums bro ni unplanned kwaio usilinganishe na vibanda vya kuku vya kwenu na hizo nyuma ambazo hamuwezi kujenga. Alaf mnakamsemo kenu eti "tujenge kwani tumekuwa kobe"
 
Na huwezi kununuaa ata moja hapo. Apo si slums bro ni unplanned kwaio usilinganishe na vibanda vya kuku vya kwenu na hizo nyuma ambazo hamuwezi kujenga. Alaf mnakamsemo kenu eti "tujenge kwani tumekuwa kobe"
Why should I buy a squalor like these these ones here
Screenshot_20200216-004315.png
2326417_Screenshot_20200304-203008.png


when I can afford to buy an apartment in a place like this
images(121).jpg

images(127).jpg


Which place even looks more expensive and organized?
 
Kweli unaumia
I asked you to show me a picture like this from Nairobi. Bado nangoja jibu View attachment 1377290

Ujue shida yako wewe ni mbishi tena ubishi wa mbaya, Dar kuna nyumba za tofali za hsli ya chini ni kweli, na ndio nyingi pia, slum ni banda kama la full bati nadhani unajua. Point ni kwamba ikijichetua akili hivo utakuwa huna tofauti na ushabiki. Slum dar hakuna kabisa hilo utakeusitake, post picha humu mpk server sijae bado Dar suala la slum tulishalidhibiti. Ila makazi ambayo hayajakaa kwenye mpangilio mzuri ndio yapo sana. Halafu pia kutu za bati zisikupe mapepe bati hizo zinakutu sana kulingana na unyevu mwingi. Sasa we endelea kupost ujinga maana naonaga kila siku unapost picha hizohizo halafu huelewi sa sjui unalazimisha nini. Ujue kutofautisha Nyumba na banda. Slum and a house ni vitu viwili tofauti. Halafu ujue kuwa tajiri haina maana hamna maskini note that.


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
So, pale mungiki wanapo-flaunt na GTC, Dar pia kuna World Trade Center building iko proposed tena yenye the same number of floors, 42. However, I wish waendelee ku-stall construction tupate investor ambaye yuko willing kujenga jengo refu na iconic zaidi. I think It'll be a better idea to construct the building in Kigamboni karibu na waterfront ili ku-start off development kwenye hiyo district
DWTC.PNG
 
Wakuu Punguzeni mchecheto Treni za Tanzania bdo TRC/Serikali hazijatangazwa ni nani alieshinda Tenda ya kusupply hizo EMU's, atatangazwa mshindi ni nani na ni kwa kiasi gani zitacost then mtaoneshwa renders ama replicas zake au picha za mfano wa makampuni ambayo yanatumia model kama hizo na pia itatolewa time frame yake ya kuzitengeneza na mpka kuzisafirisha na kufika hapa TZ(Utaratibu ndo uko hvyo) , so kuweni na subra msipost post tu mapicha mapicha ambayo yanapotosha uhalisia na pia nawashauri mulimit/mupunguze kdgo expectations na majigambo yenu coz zinaweza pia kuchaguliwa treni za umeme ila ambazo hazina mvuto tukaambulia kuchekwa humu ndani na majirani😂😂😂.

hizi ni link za website ambazo taarifa zote za treni duniani zipo so TZ ikichagua tu kampuni ya hizo treni basi hapa taarifa lazima mtaziona.
Rail business, industry and technology news from Railway Gazette International

Home - International Railway Journal
Kuhusu swala la expectations wala usiwaze maana viongozi wetu ni watanzania kama sisi na wanaelewa fika kuwa WaTz tunapenda vitu classic.
Jaribu kukumbuka renders za BRT, Madege, railway yenyewe, flyovers, bridges, n.k. So hawawezi kutuangusha kwa hilo, nianakuja nyoka moja mwenye sura mithili ya airbus vile, kwanza unadhani Dr. & Eng. Magu atakuelewa?

Kwa msisitizo: Watu wamekua wakitumia vitu classic namna hii tangu miaka ya 1990s then tuchukua uchafu wa 1960s? cheki kitu ya mwaka 2002
3-ankara-trains.jpg
 
So, pale mungiki wanapo-flaunt na GTC, Dar pia kuna World Trade Center building iko proposed tena yenye the same number of floors, 42. However, I wish waendelee ku-stall construction tupate investor ambaye yuko willing kujenga jengo refu na iconic zaidi. I think It'll be a better idea to construct the building in Kigamboni karibu na waterfront ili ku-start off development kwenye hiyo district
View attachment 1377437
Talking of proposals??? 😂 😂 😂 Nairobi kuna hadi za 70 floors on proposal. Google "The One Nairobi"
In the meantime...
PhotoGrid_1579118198540.jpg
 
Back
Top Bottom