Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaha roho ya kwann
Ila Wakenya wa JF bana, kuna kipindi flan last year walikua wanashangilia Tunnels za SGR yao ya to nowhere humu ndani, kuanzia zinaanza kuchorongwa mpaka zimekamilika tena na wachina wakafanya na party kabisa

Zililetwa picha za phase 2 hapa maandishi ya kichina kila pembe ya tunnel

Leo wanaleta Wabongo mnaanza kulia kulia....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya haya IMF nao wameturudisha kwenye 6% nljua tu baada ya mambo ya barrick kuisha tutarudi kwenye 6% hii dunia imejaa figisu
View attachment 1377998
Screenshot_20200305-190126.jpg



IMF Staff Completes 2020 Article IV Mission to Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom