asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Nafikiri saizi picha zote za NBO zilizomo humu ndani zimewapa just a taste of what it feels like to be NAIROBI (jiji kuu)
Nitawasihi waKenya hamna haja ya kuongeza zingine. Tuwaache Hawa warudie zao wao wenyewe wachoke na kijiji chao.
Tukiongeza picha zingine za NBO ama kurudia mapicha itakua ni kushusha hadhi ya NBO na itafanya jiji kuu kupoteza ladha kama kijiji chao.
Going forward ni kuDeconstruct ujinga wowote utakao letwa hapa, na kulisha Hawa watu FACTS tuu